Seee Love? when I tell them, wanadhani mi nawadanganya....bora wamesikia from you! inahuuuu? tunyimane kwa kisa gani? hatujui kusamehe....kwanza ikitumika vizuri si ndo msamaha unakuwaga 'mtamu' zaidi!
Mentor my beloved brother... gfsonwin is not a kidumu, ni mke halal... Alafu mimi sipo kwenye kundi ya kunyima loved ones... lol.
Ugomvi na hio sector ni maeneo mawili tofauti... So isikuume...
B2T, Wajad, kama kuna ugomvi ni kheri mkakaa na kusuluhisha. Ungomvi wa kendeleza sio mzuri, na ndio maana in most cases inashauriwa kama umekosana na mpenzi wako usilale bila kuweka mambo sawa. Kutokubali kufanya mapenzi ni moja ya njia ya kuonesha hujasamehe... Na upande wangu sioni kama ni wazo zuri kutoa adhabu in the lines of that.
Hahahaaaa! Kweye ndoa hakuna UZOMBIII ila kuna UBWEGE!!! Si ashaonja sanaaa atakuwaje ZOMBIII? Huyo ni ***** coz kaonja KIMEMNOGEA! sasa amekuwa ADICTED, na mwenye nacho ndo ANAMCONTROL NACHO!!! UPO HAPO!!!! LOL!
Da Asha,
Hiii adhabu inatembeza na kugawiwa kama njugu...Kama hujawahi kuitoa hata kwa sababu za uchovu (na mzee Kaizer hajawahi kuipata) basi niwaombee baraka tele!!
Kwa wengine hii ilikuwa sehemu muhimu ya maisha........!
Babu DC!!
hahaha Thanks mkuu Dark City I am back....ila unfortunately, kwangu haijawahi kutokea. See, the problem is, kwa maoni yangu kama mkeo kabisa anakunyima (bila sababu ya kimatibabu au kuwa yuko appolo) basi kuna a very BIG problem hapo!
Aidha humridhishi, au ana kidumu. bhaaas.
hahaha ndo maana nikakutafuta! sasa hii kitu wewe imeshawahi kukutokea? unaionaje? (sema bado hujaingia kwen ndoa sasa):shut-mouth:
Mzee mwenzangu Dark City mwaka wa 15 huu sijawahi
Nyimwa hata siku moja! Maajabu au
Unaziba mdomo wa nini? Nikweli BADO NIPO NIPO SANAAAAA! Mimi hiyo kitu haijanitokea coz sipo kwenye ndoa n IM SAVING MYSELF FOR MY HUSBAND (VIRGIN) @ 1940s LOLESH!!!!!!!!!!!!!! NANI KANUNA?????
Mkuu hizi ni nadharia tu ....Ulishawahi kuiona au kuigusa S.T.P?
Babu DC!!
Oh! what does S.T.P. stand for?
Ukiwa unanyimwa basi ujue kuna namna unaforce au hauna nyama ya ulimi mfanye mwenzio awe na hamu ya kukuona any time
Sio maajabu, u must be iresistable! LOL
On a serious note; lazima utakuwa una mchango mkubwa katika kumfanya mwenzio awe na hamu na wewe. Note sijatumia neno 'akunyime'!