ni adhabu nzuri sana. hamkuona ule uzi MMU ambapo yule 'mwanaume rijali' alimnyima mkewe unyumba mpaka mke 'akasalimu amri' na 'kuomba msamaha'
Wewe Kaunga naona sasa unataka kutishia usalama kwa kuonesha utaalamu wako wa kuunganisha dots!!
Hata hivyo nilitaka kushangaa kama kweli kungewa na mtu amekuwa kwenye ndoa walau kwa mwaka mmoja na hajawahi kutembeza au kuchapwa adhabu hiyo!!
Wengine hata hatuwezi tena kuhesabu ni mara ngapi tumetembezewa mkong'oto wa namna hiyo!!
Babu DC!!
Hii si adhabu nzuri kwa wapenda nao, ni chanzo cha kusalitiana!
King'asti na Kaunga wamemaliza.....
Wanaume hata mlalamikaje, kwa mwanamke tendo la ndoa si kitandani pekee.... Linaanza toka mnavyoianza siku, unavyomtreat na vionjo vya hapa na pale....kitandani mnahitimisha tu...
Sasa umkere.....au akitaka attention yako wewe upo bar kisa mkeo anaongea sana....au ukirudi wewe ni tafrani thwnnutegemee upewe utamu? Thubutuuuuuu muandae mkeo mapemaaaaaaaaaa ndo maana naimba kila siku humu hakuna kazi ngumu kama kumridhisha mwanamke watu hamuelewi.....
Mzee mwenzangu Dark City mwaka wa 15 huu sijawahi
Nyimwa hata siku moja! Maajabu au
hahahahahahahahah
ndio maana ana stress kiasi kile.
King'asti na Kaunga wamemaliza.....
Wanaume hata mlalamikaje, kwa mwanamke tendo la ndoa si kitandani pekee.... Linaanza toka mnavyoianza siku, unavyomtreat na vionjo vya hapa na pale....kitandani mnahitimisha tu...
Sasa umkere.....au akitaka attention yako wewe upo bar kisa mkeo anaongea sana....au ukirudi wewe ni tafrani thwnnutegemee upewe utamu? Thubutuuuuuu muandae mkeo mapemaaaaaaaaaa ndo maana naimba kila siku humu hakuna kazi ngumu kama kumridhisha mwanamke watu hamuelewi.....
that was meant to be a sarcastic post madamUkiona hvo ujue kuna mawili.1. Huyo mwanamke ndo mara yake ya kwanza kuja mjini i mean aliletwa na huyo mwanaume na 2. Huyo mwanamke ndio aliyetolewa 'kizinda' na huyo mwanaume,laiti angeolewa pasipokuwa na hyo kitu,wangetoka ngoma droo.
Hata mimi nilimnyima Arushaone akanipiga chini.
Mhhhhh,
Hongera zako Mkuu Kaizer,
Ila wengine huwa wananyima/nyimwa bila kujijua.
Kuna jamaa alikuwa anaambiwa kuwa menopause imeanza kwa hiyo mahitaji yamedrop wakati kuna mtoa huduma pembeni anafanya kazi vizuri...
Just take a closer look and come again!
Babu DC!!
"Mmepewa bure, toeni bure." Maandiko hayo... Kuna pengine pameandikwa "Msinyimane" nadhani 2wakorintho mlango wa 7 mistari utaipata humohumo.
Mhhhhh,
Hongera zako Mkuu Kaizer,
Ila wengine huwa wananyima/nyimwa bila kujijua.
Kuna jamaa alikuwa anaambiwa kuwa menopause imeanza kwa hiyo mahitaji yamedrop wakati kuna mtoa huduma pembeni anafanya kazi vizuri...
Just take a closer look and come again!
Babu DC!!
Mentor my beloved brother... gfsonwin is not a kidumu, ni mke halal... Alafu mimi sipo kwenye kundi ya kunyima loved ones... lol.
Ugomvi na hio sector ni maeneo mawili tofauti... So isikuume...
B2T, Wajad, kama kuna ugomvi ni kheri mkakaa na kusuluhisha. Ungomvi wa kendeleza sio mzuri, na ndio maana in most cases inashauriwa kama umekosana na mpenzi wako usilale bila kuweka mambo sawa. Kutokubali kufanya mapenzi ni moja ya njia ya kuonesha hujasamehe... Na upande wangu sioni kama ni wazo zuri kutoa adhabu in the lines of that.