Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,369
Unavyohisi kwa komenti yako hiyo kuna mtu atashawishika kujiunga na hiyo dini?
Unavyohisi kwa komenti yako hiyo kuna mtu atashawishika kujiunga na hiyo dini?
Kuna hawa wayahudi wamekuwa wakiteswa huko China kwa mika kadhaa. Ripoti hizi ni za 2014, 2018, 2019 na 2020.Ukristo haunaga violence toka mwanzo wake, China hajasikika hata siku moja akipiga au kukamata Wakristo wa kwao kwa sababu ya dini yao.
Waislamu always ni invaders, walichokipata Myanmar ni taarifa tu na baado
Kwenye komenti yangu mbona sijawataja Wayahudi vipi walishakufanyaga nini kibaya hadi wamekukaa akili hivyo?Kuna hawa wayahudi wamekuwa wakiteswa huko China kwa mika kadhaa. Ripoti hizi ni za 2014, 2018, 2019 na 2020.
Muwe mnashughulisha bongo kabla ya kukomenti.
Humu kuna kina sisi ambao hatupendi kukomenti sana, ila huwa twapenda kufanya uhakiki wa komenti zenu.
View attachment 1403893
Serikali iyo ni zaidi ya koronaSaudi Arabia ni moja kati ya nchi nne pekee ambazo bado zinatekeleza adhabu ya kifo hadharani. Nchi nyingine ni Iran, Korea Kaskazini na Somalia.
Nchini Saudi Arabia, serikali ya kifalme inatekeleza adhabu hii kwa msimamo kwamba wanatekeleza shari'ah kama ambavyo imeelekezwa katika Qur'an Tukufu.
Hivyo basi ikitokea raia amefanya kosa ambalo linapaswa aadhibiwe kifo, adhabu hii inatekelezwa kwa mtu huyo kuchinjwa hadharani kwa upanga.
Jambo hili limekuwa linaleta shida sana kati ya Saudi Arabia na watu wa haki za binadamu. Kuna makosa ambayo raia wa Saudi Arabia wanachinjwa hadharani ambayo hata wanazuoni wengi wanaamini kwamba hayako sawa kidini bali ni juhudi za Ufalme wa Saudia kuwaziba midomo raia 'vimbele mbele'.
Kwa mfano moja ya utata mkubwa kuhusu adhabu hii ya kifo hadharani ikitokea baada ya polisi wa Saudi Arabia kuwakamata vijana wawili walioitwa Ali al-Nimr na rafiki yake
Dawoud al-Marhoon kwa kosa la kuandamana mwaka 2011 kupinga utawala wa Kifalme nchini Saudi Arabia. Kipindi vijana hawa wanakamatwa walikuwa na miaka 17 pekee.
Siku chache baadae alikamatwa muubiri wa kiislamu maarufu nchini humo kipenzi cha vijana anayeitwa Sheikh Nimr al-Nimr (mjomba wake Ali al-Nimr) kwa kosa la kutoa mawaidha yenye maudhui ya kupinga serikali.
Wote hawa walikatwa mwaka 20111 na 2012, na mpaka kufikia mwaka 2015 wote walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuchinjwa hadharani.
Hukumu hii ili amsha hasira kubwa ya mashirika ya binadamu mpaka kufikia hatua utekelezaji wa adhabu kwa watuhumiwa hawa watatu ukasogezwa mbele, lakini bado wangali gerezani wakisubiria kuchinjwa siku yoyote ile.
(Sheikh Nimr al-Nimr walichinjwa mwaka jana, January 2, 2016 pamoja na raia wengine 47 kwa pamoja). Lakini kila hii haimaanishi kwamba hakuna watu wanaochinjwa kila siku kwa amri ya serikali ya Saudi Arabia.
Tumezoea kuona vyombo vya habari vikiripoti kuhusu ukatili wa kikundi cha ISIS kutokana na kuwachinja mateka wao wakiwa wanawarekodi, lakini uhalisia ni kwamba serikali ya Saudi Arabia inachinja watu wengi zaidi kuliko ISIS.
Pengine habari za ukatili huu unaotekelezwa na serikali ya Saudi Arabia haukemewi sana kwenye vyombo vya habari kutokana na uswahiba wa serikali hiyo na mataifa ya kimagharibi yakiongozwa na Marekani.
Mfano mwaka 2011 inakadiriwa kuwa watu 26 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2013 zaidi ya watu 78 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2015 jumla ya zaidi ya watu 158 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2016 zaidi ya watu 153 walichinjwa hadharani, ambapo watu 47 kati ya hao walichinjwa kwa pamoja (mass beheading) siku ya January 2, 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za Wayahuudi wengine hawa hapa, kuteswa China. Maana umedai haijatokea hata siku moja mkristu kuteswa China.Kwenye komenti yangu mbona sijawataja Wayahudi vipi walishakufanyaga nini kibaya hadi wamekukaa akili hivyo?
Are you mad? Ukristo na Uyahudi ni kitu kimoja?Habari za Wayahuudi wengine hawa hapa, kuteswa China. Maana umedai haijatokea hata siku moja mkristu kuteswa China.
Muwe mnajizuia kuwa waongo jukwaani.
View attachment 1403896
Ndio maana sasa Marekani hawataweza kuudhibiti huu ugonjwa kama wakiendelea hivi, huu mwaka unaweza ukakatika bado inapambana tu na corona, sababu inachukua half measures..Ingepiga lockdown mapema sasa hivi ingekuwa na wagonjwa wachache a,bao wangepona muda si mrefu, kwa walipofikia hii ngoma inaend kuwa nzito sana kwaoHehehehe! Buddy lockdown hata sio solution zaidi italeta tu violence.
Mfano mpaka sas Trump hata hajasema tukae ndani we're free ila state government ndio inatusisitiza kukaa ndani na sio lazima.
Hii kitu Brother John inahusu uchumi America ikisema tukae ndani uchumi wa nchi hii utakuwa collapsed na hapo ndipo watu wengi wanapataka, kuhusu ulaya wameamua kufanya lockdowns cause no one is competing na wao alafu pia wanapata hela nyingi sana kukaa ndani
Wewe utakuwa na MTINDIO WA UBONGO, umekufanya ushindwe kung'amua maandishi.Are you mad? Ukristo na Uyahudi ni kitu kimoja?
Embu nishushe kituo kinachofuata nimesema "Mkristo hajawahi kutwezwa utu wake au kuteswa kwa sababu ya dini yake"
Duhhh....Niliomba hii kazi miaka ya nyuma
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unajua deen kuliko waarabu wa makkah??Mtume Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam amesema: “Si halali (kumwaga) damu ya Muislamu isipokuwa kwa matatu; Nafsi kwa nafsi (Aliyeua auwawe), na mzinzi
'thayyib' (aliyekwishaoa au kuolewa) na aliyeacha dini akafarikiana na kundi." [al-Bukhaariy na Muslim]
Sent using Jamii Forums mobile app
Saudi Arabia ni conservative and primitive society, hii adhabu ni ya enzi na enzi ikitekelezwa na wenyeji wa huko hata kabla ya uislamu kuja.
Uislamu ulivyokuja kwenye karne ya saba ukarithi huu ukatili na kuendelea nao hadi leo. Uislam kwa asilimia 100 ni utamaduni kwa kiarabu.
Hivyo hata huku kwetu mtu anapoamua kuwa muislamu kwa asilimia kubwa sana analazimika kufuata utamaduni wa kiarabu na kuacha ule utamaduni wa kijadi wa kiafrika uliyokuwepo kabla ya ujio wa uislamu.
Hili kwa hao waislamu tunaliona sana ktk salamu, mavazi ya kike na kiume, misiba, ndoa, sala na hata the way wanavyo-treat watoto wa kike nk ni sawa kabisa na wafanyavyo waarabu na ndio maana jamii ya waarabu wasio waislam wanapata wakati mgumu mno kuishi uarabuni na labda ndio maana wengi hupenda kuzamia nchi za magharibi.
Nchi za magharibi zikiacha unafiki na kuikomalia Saudi Arabia kuhusiana na huu ukatili wanaweza wakaukomesha mara moja.
Kaisome vi,Uri para yake ya pili ya post namba moja. Hajawanukuu Saudia wala Qur'an Bali kasema...Kwa maoni yangu mimi nadhani ungemdai aonyeshe ni wapi Saudia waliwahi kutoa kauli hiyo. Maana maelezo yake yanainyesha yeye hajainukuu Quran bali kawanukuu Saudia.
Kulwani 5:33
The punishment of those who wage war against Allah and His Messenger, and strive with might and main for mischief through the land is: execution, or crucifixion, or the cutting off of hands and feet from opposite sides, or exile from the land: that is their disgrace in this world, and a heavy punishment is theirs in the Hereafter, Except for those who return repenting before you apprehend them. And know that Allah is Forgiving and Merciful.
Ukristo haunaga violence toka mwanzo wake, China hajasikika hata siku moja akipiga au kukamata Wakristo wa kwao kwa sababu ya dini yao.
Waislamu always ni invaders, walichokipata Myanmar ni taarifa tu na baado
Narudia tena ubaya wachina nikunyanyasa watu kwakigezo chadini ila uzuri wake hua hanyanyasi waislamu peke yao hua anakanyaga woteananyanyasa wote ila kundi moja tu ndio huwa linapiga kelele, by the waay dini zote ni ujinga,
Uzuri nikwamba uislam toka uanze kupigwa vita haujawahi kufutika nahautakaa ufutike milele mtawapiga vita waislam namtafanikiwa ila kuupiga vita uislam hamtakaa mfanikiwe hata sekundeUkristo haunaga violence toka mwanzo wake, China hajasikika hata siku moja akipiga au kukamata Wakristo wa kwao kwa sababu ya dini yao.
Waislamu always ni invaders, walichokipata Myanmar ni taarifa tu na baado
Saudi Arabia ni moja kati ya nchi nne pekee ambazo bado zinatekeleza adhabu ya kifo hadharani. Nchi nyingine ni Iran, Korea Kaskazini na Somalia.
Nchini Saudi Arabia, serikali ya kifalme inatekeleza adhabu hii kwa msimamo kwamba wanatekeleza shari'ah kama ambavyo imeelekezwa katika Qur'an Tukufu.
Hivyo basi ikitokea raia amefanya kosa ambalo linapaswa aadhibiwe kifo, adhabu hii inatekelezwa kwa mtu huyo kuchinjwa hadharani kwa upanga.
Jambo hili limekuwa linaleta shida sana kati ya Saudi Arabia na watu wa haki za binadamu. Kuna makosa ambayo raia wa Saudi Arabia wanachinjwa hadharani ambayo hata wanazuoni wengi wanaamini kwamba hayako sawa kidini bali ni juhudi za Ufalme wa Saudia kuwaziba midomo raia 'vimbele mbele'.
Kwa mfano moja ya utata mkubwa kuhusu adhabu hii ya kifo hadharani ikitokea baada ya polisi wa Saudi Arabia kuwakamata vijana wawili walioitwa Ali al-Nimr na rafiki yake
Dawoud al-Marhoon kwa kosa la kuandamana mwaka 2011 kupinga utawala wa Kifalme nchini Saudi Arabia. Kipindi vijana hawa wanakamatwa walikuwa na miaka 17 pekee.
Siku chache baadae alikamatwa muubiri wa kiislamu maarufu nchini humo kipenzi cha vijana anayeitwa Sheikh Nimr al-Nimr (mjomba wake Ali al-Nimr) kwa kosa la kutoa mawaidha yenye maudhui ya kupinga serikali.
Wote hawa walikatwa mwaka 20111 na 2012, na mpaka kufikia mwaka 2015 wote walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuchinjwa hadharani.
Hukumu hii ili amsha hasira kubwa ya mashirika ya binadamu mpaka kufikia hatua utekelezaji wa adhabu kwa watuhumiwa hawa watatu ukasogezwa mbele, lakini bado wangali gerezani wakisubiria kuchinjwa siku yoyote ile.
(Sheikh Nimr al-Nimr walichinjwa mwaka jana, January 2, 2016 pamoja na raia wengine 47 kwa pamoja). Lakini kila hii haimaanishi kwamba hakuna watu wanaochinjwa kila siku kwa amri ya serikali ya Saudi Arabia.
Tumezoea kuona vyombo vya habari vikiripoti kuhusu ukatili wa kikundi cha ISIS kutokana na kuwachinja mateka wao wakiwa wanawarekodi, lakini uhalisia ni kwamba serikali ya Saudi Arabia inachinja watu wengi zaidi kuliko ISIS.
Pengine habari za ukatili huu unaotekelezwa na serikali ya Saudi Arabia haukemewi sana kwenye vyombo vya habari kutokana na uswahiba wa serikali hiyo na mataifa ya kimagharibi yakiongozwa na Marekani.
Mfano mwaka 2011 inakadiriwa kuwa watu 26 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2013 zaidi ya watu 78 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2015 jumla ya zaidi ya watu 158 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2016 zaidi ya watu 153 walichinjwa hadharani, ambapo watu 47 kati ya hao walichinjwa kwa pamoja (mass beheading) siku ya January 2, 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri nikwamba uislam toka uanze kupigwa vita haujawahi kufutika nahautakaa ufutike milele mtawapiga vita waislam namtafanikiwa ila kuupiga vita uislam hamtakaa mfanikiwe hata sekunde
Kwani waislam wangapi wanauwawa ila uislam upo pale pale [emoji4]
Sent using My COVID-19