Adhabu ya kifo hadharani nchini Saudi Arabia

Adhabu ya kifo hadharani nchini Saudi Arabia

Uzuri nikwamba uislam toka uanze kupigwa vita haujawahi kufutika nahautakaa ufutike milele mtawapiga vita waislam namtafanikiwa ila kuupiga vita uislam hamtakaa mfanikiwe hata sekunde

Kwani waislam wangapi wanauwawa ila uislam upo pale pale [emoji4]

Sent using My COVID-19
Nobody wants hicho unachokiwaza, watu wanachokitaka ni mbaki na imani yenu kwenye nchi zenu don't invade others countries.

Mathalani wewe unaweza kutoka TZ kwenda Sweden kufundisha hiyo imani yako kwa waislamu waliopo kule mlivyo wa ajabu mnaanzaga na kudai haki zenu mara tunataka shariah mara muweke ma spika yenu yale, mara kitimoto kisiuzwe karibu na mskiti who will love you?

Hilo moja, mbili ni mafundisho yenu ni chuki plus chuki, unaenda kuzungumza ubaya wa wakristo and unaishi kwenye nchi yao are you f*ckin mad
 
Walichofanyiwa Rohingya Myanmar ni genocide na haikubaliki popote dunia ambapo ubinadamu unathaminiwa na kuheshimiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kwachuki zake zakidini anaona sawa halafu anakwambia wakristo wanapenda amani pamoja nayeye akiwemo eti [emoji3][emoji23][emoji3][emoji16][emoji2]

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nobody wants hicho unachokiwaza, watu wanachokitaka ni mbaki na imani yenu kwenye nchi zenu don't invade others countries.

Mathalani wewe unaweza kutoka TZ kwenda Sweden kufundisha hiyo imani yako kwa waislamu waliopo kule mlivyo wa ajabu mnaanzaga na kudai haki zenu mara tunataka shariah mara muweke ma spika yenu yale, mara kitimoto kisiuzwe karibu na mskiti who will love you?

Hilo moja, mbili ni mafundisho yenu ni chuki plus chuki, unaenda kuzungumza ubaya wa wakristo and unaishi kwenye nchi yao are you f*ckin mad
mbna povu kijana ama ndio dawa yaanza sambaa mwilini ?!

Sent using My COVID-19
 
Hivyo pia kwa Ukristo kwenye nchi za Uarabuni na Pakistan na dini ya Uyahudi mashariki ya kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi kama ipi ulisikia wayahudi wakristo wanapigwa pale mashariki yakati achana na haya maswala yakisiasa yamashariki yakati baina ya IRAN na ISRAEL Achana na haya

ntajie nchi moja tu ambayo wakristo ama wasio wakristo hupigwa

Sent using My COVID-19
 
Anyanyase wote, dini ni utapeli wa waarabu na wazungu, unapunguza uwezo wa kufikiri
Naheshimu mawazo yako na wanavyowanyanyasa watu weusi watu weusi nao waliwakosea nn ama nao niutapeli wa muumba ?!

Sent using My COVID-19
 
[emoji3][emoji23][emoji28][emoji2]
Yani nimewapenda sana hao mabudha, unataarifa zozote za nini walifanya hadi wakatendewa hayo?
Uzuri hata wewe ukijichanganya kule watakunyoosha nalazma unyoosheke

Sent using My COVID-19
 
Msome Asia Bibi wa Pakistan
Nchi kama ipi ulisikia wayahudi wakristo wanapigwa pale mashariki yakati achana na haya maswala yakisiasa yamashariki yakati baina ya IRAN na ISRAEL Achana na haya

ntajie nchi moja tu ambayo wakristo ama wasio wakristo hupigwa

Sent using My COVID-19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji23][emoji28][emoji2]Uzuri hata wewe ukijichanganya kule watakunyoosha nalazma unyoosheke

Sent using My COVID-19
True, sasa tatizo ni kwamba Ukristo haujaumbwa kwa misingi hiyo.
Yani Ukristo unakuacha na lugha yako, mavazi yako na tamaduni zako zote.

Uislamu unakuja kuharibu tamaduni hizo zote na kutaka vya kwenye Koran, mfano watataka shariah, watataka nguruwe asiuzwe mazingira fulani, uswali kiarabu kwanini watu wasiwaite invaders?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
True, sasa tatizo ni kwamba Ukristo haujaumbwa kwa misingi hiyo.
Yani Ukristo unakuacha na lugha yako, mavazi yako na tamaduni zako zote.

Uislamu unakuja kuharibu tamaduni hizo zote na kutaka vya kwenye Koran, mfano watataka shariah, watataka nguruwe asiuzwe mazingira fulani, uswali kiarabu kwanini watu wasiwaite invaders?
Utafanya kama muislam kama sio fanya yako kila mmoja ana uhuru wakuabudu dini anayo itaka

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utafanya kama muislam kama sio fanya yako kila mmoja ana uhuru wakuabudu dini anayo itaka

Sent using My COVID-19
Haiwezekani kuwahubiria watu uislamu bila kubadili tamaduni zao?
 
mleta mada umesha sema hiyo nchi ni ya kislama na inaongozwa kifalme, hivyo wanatekeleza sheria iliyo wekwa na serikali,
hata sisi Tanzania tuna sheria ya adhabu ya kunyongwa hadi kufa na inapingwa kila siku na watetezi wa haki za binaadamu, na wanao subiria adhabu ya kunyongwa wapo wengi tu.
hakuna shida yoyote pale nchi inapo tekeleza adhabu zake kwa mujibu wa sheria ila kama sheria hizo zinakiuka haki za binaadamu basi zipelekwe katika bunge zirekebishwe.
pia ikumbukwe kila nchi ina utaratibu wake wa kutekeleza adhabu ya kifo...,

some vizuri sheria zinazo ongoza utawala wa kifalme ndipo utajua kwa nini hao ulio wataja walikabiliwa na adhabu ya kifo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom