Hakuna facts isio afikiana na ukweli. Nikikwambia thibitisha kama wale Waislamu utaweza ?Naweka facts.....simple facts, wanaojilipua wote wanajiita waislamu wanaoendeshwa na uislamu na wote wametokea mataifa yenye waislamu.
Hakuna facts isio afikiana na ukweli. Nikikwambia thibitisha kama wale Waislamu utaweza ?Naweka facts.....simple facts, wanaojilipua wote wanajiita waislamu wanaoendeshwa na uislamu na wote wametokea mataifa yenye waislamu.
Ingekua wa nch moja ningeelewa ni zile lawamaa zenu za kusema mnahujumiwa, ila wote wanatokea mtaifa yote ya waislamu au yenye waislamu na wote huhudhura misikiti wakipata hayo mafundisho wanatoka humo wameiva wanawaza kulipuka tu.Hakuna facts isio afikiana na ukweli. Nikikwambia thibitisha kama wale Waislamu utaweza ?
Poa.Ingekua wa nch moja ningeelewa ni zile lawamaa zenu za kusema mnahujumiwa, ila wote wanatokea mtaifa yote ya waislamu au yenye waislamu na wote huhudhura misikiti wakipata hayo mafundisho wanatoka humo wameiva wanawaza kulipuka tu.
Zama za giza zilimpa binafamu mamlaka ya kumhukumu binadamu. Zama za mwanga zinamtaka binadamu ajihukumu kwanza mwenyewe kabla hajajipa mamlaka ya kumhukumu binadamu mwingine.Nyakati zinapitwaje mzee?
Watu siku hizi hawazini,hawaibi,hawadhulumu ?
Jitahidi uwe unajua unachokiandika.
Ahsante.
Zama za giza zilimpa binafamu mamlaka ya kumhukumu binadamu.
Zama za mwanga zinaanzia mwaka gani, maana kama ndio hivyo watu waikuwa wanajihukumu wenyewe hata kabla ya Yesu kuwepo.Zama za mwanga zinamtaka binadamu ajihukumu kwanza mwenyewe kabla hajajipa mamlaka ya kumhukumu binadamu mwingine.
Nikuhakikishie tu, zaidi ya asilimia 90 ya binadamu ni wazinzi. Lakini kwa huruma ya Mungu wengi wametubu na wanaendelea na maisha. Unaweza kuwakamata wazinzi wote uwachinje? Mtu akizini anabaki na alama?
Wewe unasimamia wapi?Wakina nani waliziita zile zama za giza ? Ugiza wake ulitokana na teknolojia au matendo ? Kama teknolojia haina uhusiano na matendo mzee, ndio maana matendo hayapitwi na wakati.
Zama za mwanga zinaanzia mwaka gani, maana kama ndio hivyo watu waikuwa wanajihukumu wenyewe hata kabla ya Yesu kuwepo.
Unajua sheria ya Mola juu ya mzinzi inatakiwa ikidhi vigezo gani ?
Ndio maana leo hii wapo wanao fata sheria na ambao hawafati sheria, vipi wachinjwe wote ?
Kwenye UKWELI.Wewe unasimamia wapi?
Huna lolote. Lala ukueKwenye UKWELI.
Mkuu, kwanza naomba nikuelekeze kwamba hata huyo Bold simjui na sijawahi kusoma alicho kiandika.mzee haya ndo madhara ya kwenda kucopy vi thread vya the bold alafu unakuja kuvipaste hapa,wewe umeulizwa tupe aya ndani ya Quran inayoruhusu watu kuchingwa hivyo,acheni kuweka maswala ya kipumbavu ya kuchafuana hasa kwenye dini,na hili swala jamiiforum mliangalie sana maana kuna mijadala mingi sana humu ya dini moja kukashifu dini nyingine alafu na nyinyi mmekaa tu kimya hali ya kuwa mnajua ni athari gani inayojitengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app