Adhabu ya kifo hadharani nchini Saudi Arabia

Tusiende mbali sana. Inawezekana ndicho wanachoamini

Inawezekana wanaiamini biblia na wanaifata mafundisho yake?maana tunaona kwenye biblia "bwana" akifanya mauaji makuu huku anafurahia...

Biblia, 1 Samueli 6:19 Basi Bwana aliwapiga baadhi ya watu wa Beth-shemeshi, kwa sababu wamechungulia ndani ya hilo sanduku la Bwana, wapata watu sabini, na watu hamsini elfu; nao watu wakalalamika, kwa kuwa Bwana amewapiga watu kwa uuaji mkuu.
 
Mtu akiamua kuslim anaamua tu, sio lazma ashawishike na na comment yng JF mkuu, Uzuri wake miskiti na mashehe pamoja na Waislam wapo wengi sana Tz kila unapoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani hata kidogo, yani nione muislamu anasema mimi nikimuona mzinzi nampiga mawe hadi afe au mtu alitefanya kosa fulani namkata panga yani badala ya kunisogeza ndio unaniondoa kabisa kwenye reli.

Mfano mzuri yule jamaa alochana Koran komenti zenu zilikuwa "waislamu walikuwa wapi?" "Wangemkata jambia" "afadhali kapelekwa polisi asingekuwa hai" "atalaaniwa" "atakuwa chizi" "mnyazi mungu atampa adhabu kali sana"
unaona yani vinywa vyenu vimejaa laana maneno ya hovyohovyo huo sio ubinadamu ni mnyama pekee ndiye anaweza kuthubutu kuingia huko otherwise aletwe na mapenzi ya mwanamke.

wewe kwenye huu uzi una-support upumbavu wa Saudi na Iran, embu jiulize swali kwanini waislamu wa U.K wana uhuru wa kufanya chochote kuliko mataifa waliyotoka?
Ahmadiya wamefukuzwa Pakistan ila wapo England na wanaendesha shughuli zao freely na wanaalika maaskofu na wachungaji kwenye msikiti wao yani hawapo kutengeneza diversity kama nyinyi
 
Inawezekana wanaiamini biblia na wanaifata mafundisho yake?maana tunaona kwenye biblia "bwana" akifanya mauaji makuu huku anafurahia...

Biblia, 1 Samueli 6:19 Basi Bwana aliwapiga baadhi ya watu wa Beth-shemeshi, kwa sababu wamechungulia ndani ya hilo sanduku la Bwana, wapata watu sabini, na watu hamsini elfu; nao watu wakalalamika, kwa kuwa Bwana amewapiga watu kwa uuaji mkuu.
Huwa nafurahia sana mnapoulizwa maswali yahusuyo imani yenu alafu mnaanza kuleta nukuu za Biblia nafarijika sana kuona hilo ubarikiwe katika jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai!
Back in topic;
Unaweza kutueleza hilo Sanduku la bwana liko wapi sasa?

Biblia Takatifu. Isaya 40:1-5,10
[1]Watulizeni mioyo, watulizeni mioyo, watu wangu, asema Mungu wenu.
[2]Semeni na moyo wa Yerusalemu, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachiliwa; kwa kuwa amepokea kwa mkono wa BWANA adhabu maradufu kwa dhambi zake zote.
[3]Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye,
Itengenezeni nyikani njia ya BWANA;
Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
[4]Kila bonde litainuliwa,
Na kila mlima na kilima kitashushwa;
Palipopotoka patakuwa pamenyoka,
Na palipoparuza patasawazishwa;
[5]Na utukufu wa BWANA utafunuliwa,
Na wote wenye mwili watauona pamoja;
Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.
[10]Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa,
Na mkono wake ndio utakaomtawalia;
Tazameni, thawabu yake i pamoja naye,

Na ijara yake i mbele zake.
 
Saudi Arabia ni moja kati ya nchi nne pekee ambazo bado zinatekeleza adhabu ya kifo hadharani. Nchi nyingine ni Iran, Korea Kaskazini na Somalia.

Nchini Saudi Arabia, serikali ya kifalme inatekeleza adhabu hii kwa msimamo kwamba wanatekeleza shari'ah kama ambavyo imeelekezwa katika Qur'an Tukufu.

Hivyo basi ikitokea raia amefanya kosa ambalo linapaswa aadhibiwe kifo, adhabu hii inatekelezwa kwa mtu huyo kuchinjwa hadharani kwa upanga.

Jambo hili limekuwa linaleta shida sana kati ya Saudi Arabia na watu wa haki za binadamu. Kuna makosa ambayo raia wa Saudi Arabia wanachinjwa hadharani ambayo hata wanazuoni wengi wanaamini kwamba hayako sawa kidini bali ni juhudi za Ufalme wa Saudia kuwaziba midomo raia 'vimbele mbele'.

Kwa mfano moja ya utata mkubwa kuhusu adhabu hii ya kifo hadharani ikitokea baada ya polisi wa Saudi Arabia kuwakamata vijana wawili walioitwa Ali al-Nimr na rafiki yake Dawoud al-Marhoon kwa kosa la kuandamana mwaka 2011 kupinga utawala wa Kifalme nchini Saudi Arabia. Kipindi vijana hawa wanakamatwa walikuwa na miaka 17 pekee.

Siku chache baadae alikamatwa muhubiri wa kiislamu maarufu nchini humo kipenzi cha vijana anayeitwa Sheikh Nimr al-Nimr (mjomba wake Ali al-Nimr) kwa kosa la kutoa mawaidha yenye maudhui ya kupinga serikali.

Wote hawa walikamatwa mwaka 2011 na 2012, na mpaka kufikia mwaka 2015 wote walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuchinjwa hadharani.

Hukumu hii iliamsha hasira kubwa ya mashirika ya binadamu mpaka kufikia hatua utekelezaji wa adhabu kwa watuhumiwa hawa watatu ukasogezwa mbele, lakini bado wangali gerezani wakisubiria kuchinjwa siku yoyote ile.

(Sheikh Nimr al-Nimr walichinjwa mwaka jana, January 2, 2016 pamoja na raia wengine 47 kwa pamoja). Lakini kila hii haimaanishi kwamba hakuna watu wanaochinjwa kila siku kwa amri ya serikali ya Saudi Arabia.

Tumezoea kuona vyombo vya habari vikiripoti kuhusu ukatili wa kikundi cha ISIS kutokana na kuwachinja mateka wao wakiwa wanawarekodi, lakini uhalisia ni kwamba serikali ya Saudi Arabia inachinja watu wengi zaidi kuliko ISIS.

Pengine habari za ukatili huu unaotekelezwa na serikali ya Saudi Arabia haukemewi sana kwenye vyombo vya habari kutokana na uswahiba wa serikali hiyo na mataifa ya kimagharibi yakiongozwa na Marekani.

Mfano mwaka 2011 inakadiriwa kuwa watu 26 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2013 zaidi ya watu 78 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2015 jumla ya zaidi ya watu 158 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2016 zaidi ya watu 153 walichinjwa hadharani, ambapo watu 47 kati ya hao walichinjwa kwa pamoja (mass beheading) siku ya January 2, 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka naomba nikuulize swali moja rahisi kisha nikupe ushauri mzuri sana.

Swali : Una Elimu yoyote juu ya Uislamu ?

Kama huna elimu juu ya Uislamu nakushauri usiwe unaweka habari tu kisa ni habari kisha ukaweka, kwani unakuwa ni miongoni mwa watu wanao sambaza uovu na uongo, maana habari hii haina ushahidi wala vyanzo madhubhuti, na pili inatoa habari za dini bila kurejea katika vyanzo vya dini, hili ni tatizo.

Ahsante.
 
Saudi Arabia ni moja kati ya nchi nne pekee ambazo bado zinatekeleza adhabu ya kifo hadharani. Nchi nyingine ni Iran, Korea Kaskazini na Somalia.

Nchini Saudi Arabia, serikali ya kifalme inatekeleza adhabu hii kwa msimamo kwamba wanatekeleza shari'ah kama ambavyo imeelekezwa katika Qur'an Tukufu.

Hivyo basi ikitokea raia amefanya kosa ambalo linapaswa aadhibiwe kifo, adhabu hii inatekelezwa kwa mtu huyo kuchinjwa hadharani kwa upanga.

Jambo hili limekuwa linaleta shida sana kati ya Saudi Arabia na watu wa haki za binadamu. Kuna makosa ambayo raia wa Saudi Arabia wanachinjwa hadharani ambayo hata wanazuoni wengi wanaamini kwamba hayako sawa kidini bali ni juhudi za Ufalme wa Saudia kuwaziba midomo raia 'vimbele mbele'.

Kwa mfano moja ya utata mkubwa kuhusu adhabu hii ya kifo hadharani ikitokea baada ya polisi wa Saudi Arabia kuwakamata vijana wawili walioitwa Ali al-Nimr na rafiki yake Dawoud al-Marhoon kwa kosa la kuandamana mwaka 2011 kupinga utawala wa Kifalme nchini Saudi Arabia. Kipindi vijana hawa wanakamatwa walikuwa na miaka 17 pekee.

Siku chache baadae alikamatwa muhubiri wa kiislamu maarufu nchini humo kipenzi cha vijana anayeitwa Sheikh Nimr al-Nimr (mjomba wake Ali al-Nimr) kwa kosa la kutoa mawaidha yenye maudhui ya kupinga serikali.

Wote hawa walikamatwa mwaka 2011 na 2012, na mpaka kufikia mwaka 2015 wote walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kuchinjwa hadharani.

Hukumu hii iliamsha hasira kubwa ya mashirika ya binadamu mpaka kufikia hatua utekelezaji wa adhabu kwa watuhumiwa hawa watatu ukasogezwa mbele, lakini bado wangali gerezani wakisubiria kuchinjwa siku yoyote ile.

(Sheikh Nimr al-Nimr walichinjwa mwaka jana, January 2, 2016 pamoja na raia wengine 47 kwa pamoja). Lakini kila hii haimaanishi kwamba hakuna watu wanaochinjwa kila siku kwa amri ya serikali ya Saudi Arabia.

Tumezoea kuona vyombo vya habari vikiripoti kuhusu ukatili wa kikundi cha ISIS kutokana na kuwachinja mateka wao wakiwa wanawarekodi, lakini uhalisia ni kwamba serikali ya Saudi Arabia inachinja watu wengi zaidi kuliko ISIS.

Pengine habari za ukatili huu unaotekelezwa na serikali ya Saudi Arabia haukemewi sana kwenye vyombo vya habari kutokana na uswahiba wa serikali hiyo na mataifa ya kimagharibi yakiongozwa na Marekani.

Mfano mwaka 2011 inakadiriwa kuwa watu 26 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2013 zaidi ya watu 78 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2015 jumla ya zaidi ya watu 158 walichinjwa hadharani.
Mwaka 2016 zaidi ya watu 153 walichinjwa hadharani, ambapo watu 47 kati ya hao walichinjwa kwa pamoja (mass beheading) siku ya January 2, 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app

Leo tuko mwaka 2020, unasema mwaka jana ni 2016. Hii au hapa kuna mawili, aidha unekosea katika mwaka au habari hii ni ya mwaka 2017. Kama ni ya mwaka huo ulitakiwa utuwekee chanzo cha habari hii ni wapi.

Ahsante.
 
"Nchini Saudi Arabia, serikali ya kifalme inatekeleza adhabu hii kwa msimamo kwamba wanatekeleza shari'ah kama ambavyo imeelekezwa katika Qur'an Tukufu".

Hiyo sentensi wewe unavyoiona hayo ni maneno au madai yake mpaka umdai athibitishe kwa kuonyesha aya kutoka kwenye Quran?
Huyu mtoa mada alitakiwa aweke ushahidi toka katika Qur'aan au Hadithi kuonyesha ya kuwa wanacho fanya viongozi wa Saudia ni matakwa yao na si mafundisho ya Uislamu.

Ndio maana nikashauri si kila habari mtu unaiweka tu kisa umeisoma sehemu sababu kiuhalisia alitakiwa abainishe yote hayo. Sasa huwezi kutoa tuhuma kama huna marejeo, kinyume chake hui unakuwa UMBEYA na UZANDIKI.

ahsante.
 
Katika mahojiano ya nadra sana ambayo aliyafana na Arab News mwaka 2003 al-Beshi aliwahi kueleza kuwa yeye si mtu katili kwa sababu ya kazi anayoifanya, kwani anajisikia fahari kufanya kazi hiyo ya mchinjaji kwa kuwa anaamini anafanya kazi ya mwenyezi Mungu kama ilivyoagizwa kwenye vitabu.

Pia anaendelea kujitetea kwamba kazi yake haimtengi na jamii kwa kuwa ana marafiki wengi msikitini na mtaaani, pia ana ndugu na jamaa ambao wanampenda na kumuelewa juu ya chaguzi yake hiyo ya ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee haya ndo madhara ya kwenda kucopy vi thread vya the bold alafu unakuja kuvipaste hapa,wewe umeulizwa tupe aya ndani ya Quran inayoruhusu watu kuchingwa hivyo,acheni kuweka maswala ya kipumbavu ya kuchafuana hasa kwenye dini,na hili swala jamiiforum mliangalie sana maana kuna mijadala mingi sana humu ya dini moja kukashifu dini nyingine alafu na nyinyi mmekaa tu kimya hali ya kuwa mnajua ni athari gani inayojitengeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadh ya hizi dini ni hatri hata kuzidi Corona, ni hatari kwa taifa la kisasa bado kuendelea kuendeshwa kwa dini ya chuki.

Chuki inaingiaje katika kusimamia sheria au chuki ili iwe chuki inatakiwa ikidhi vigezo gani ?

Maana kuna mtu anasema huo ni ukatili, kwa lipi na kwanini ?
 
Wajuzi zaidi wa elimu ya dini wanaweza kutujuza zaidi kuhusu hili, lakini binafsi kwa kadiri nilivyotafiti, nilichokiona kwamba hukumu nyingi za watu nchini Saudi Arabia juu ya kuchinjwa hadharani, japo zinatolewa kwa mtazamo wa kidini lakini zinaegemea zaidi katika upande wa aina za hukumu za Tazir badala ya Hudud.

Kaka huu utafiti wako ulipokuwa unaufanya uliegemea katika nini kama ndio vuyanzo vyako, au ulisoma kitabu cha mwana chuoni gani anae sema hiyo ni Tazir na ni ipi hukumu ya Tazir ?

Ahasante.
 
Inawezekana wanaiamini biblia na wanaifata mafundisho yake?maana tunaona kwenye biblia "bwana" akifanya mauaji makuu huku anafurahia...

Biblia, 1 Samueli 6:19 Basi Bwana aliwapiga baadhi ya watu wa Beth-shemeshi, kwa sababu wamechungulia ndani ya hilo sanduku la Bwana, wapata watu sabini, na watu hamsini elfu; nao watu wakalalamika, kwa kuwa Bwana amewapiga watu kwa uuaji mkuu.
Aisee. Naona una nondo za kutosha. Bwana aliwapigaje hapa? Watu zamani ilikuwa hata tetemeko walikuwa wakimsingizia Bwana. Kwa uelewa wa wakati huo labda leo tungeambiwa Bwana anawaua watu kwa korona.
 
Chuki inaingiaje katika kusimamia sheria au chuki ili iwe chuki inatakiwa ikidhi vigezo gani ?

Maana kuna mtu anasema huo ni ukatili, kwa lipi na kwanini ?
Mnapenda kusimamia sharia zilizopitwa na nyakati.
 
Chuki inaingiaje katika kusimamia sheria au chuki ili iwe chuki inatakiwa ikidhi vigezo gani ?

Maana kuna mtu anasema huo ni ukatili, kwa lipi na kwanini ?

Dini haifai kuhubiri ukataji wa vichwa na watu kujilipua mabomu kama mazombi.
 
Nini maana ya Dini ? Mpaka usene haifau kuhubiri jambo hilo ? Wapi dinji imehubiri hilo ? Maana kuna kuhubiri na kutekeleza amri. Lipi ni lipi hapo ?
 
Utakua na ujinga kama hujakaa ujiulize mbona wanaojilipua wote wa dini moja, kona zote kuanzia Nigeria, uende uarabuni kwa wamiliki wa hiyo dini, uje mpaka Somalia wote wa dini moja, kinachowaleta pamoja ni dini na kitabu chake.
 
Kusema kwako tu "....mbona wanao jilipua wote wa dini moja.... ", huu ni ujinga ulio pea na kuishiwa na hoja bali kutokujua kujenga hoja. Ulitakiwa ujiulize na ujue kutofautisha kati ya Uislamu na Waislamu. Nakuuliza swali moja ambalo linathibitisha ujinga wako na uzwa zwa wako kadhalika. Wapi UISLAMU una fundisha watu wajilipue. ? Ukishinwa kuthibitisha hilo, uje uniambie kwanini wewe usiitwe zwa zwa au mjinga ?

Pili, jifunze kutumia Kiswahili vizuri hakuna mtu anae miliki dini bali watu wanafata dini, tangu lini muungwana akamilikiwa na mtwana ?
 
Sina haja ya kujua waislamu na uislamu maana sio dini yangu, cha msingi kila anayejilipua anajiita muislamu anayefuata uislamu, tukitumia takwimu kwa mahesabu ya haraka utaelewa uislamu ndio chanzo cha hao magaidi wote maana wote wanatokea kwenye hiyo misikiti wanakolishwa huo ujinga.
Usitegemee nihangaike kusoma kitabu chenu, nachambua matukio na kutumia akili kujiuliza mbona wote wa dini moja na wote hawajatokea sehemu moja, ni mataifa yote yenye hiyo dini.
 
Sasa ndio ukae kimya, ili usizidi kuonekana mjinga na muongo.

Hivi huwa mnafundishwa kuongeq uongo au kuandika uongo ni jambo zuri sio ?
 
Naweka facts.....simple facts, wanaojilipua wote wanajiita waislamu wanaoendeshwa na uislamu na wote wametokea mataifa yenye waislamu.
 
Back
Top Bottom