Acha unaziNaam. maana si kila wafanyalo Saudia ni Sharia, zingine ni sheria.
Tunaomba huu uthibitisho kutoka Qur'an kwa kuwa kaitaja Qur'an.
Au kila lifanywalo Vatican limeamrishwa na biblia?
Acha unaziNaam. maana si kila wafanyalo Saudia ni Sharia, zingine ni sheria.
Tunaomba huu uthibitisho kutoka Qur'an kwa kuwa kaitaja Qur'an.
Au kila lifanywalo Vatican limeamrishwa na biblia?
Nadhani wafalme wa Saudi Arabia wanapaswa kuitwa anti Islam. Huwezi kujilinda utawale kwa kusingizia watu makusa na kuwachinja kama kuku. Waislam wanatakiwa kuungana kupinga huu ufedhuliAntIslam wamekimbia nyuzi za Corona wanakuja kujiponza huku, Adhabu inaanza hapahapa duniani mpaka akili ziwakae sawa, akhera ni hesabu tu, hao wameuwa watu wengi watoto wasiokua na hatia, wameiba mali za watu, wapiga mabomu mali za watu, acha moto uwake kwao sasa, tutaheshimiana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kuwa kuua humpatia mtu thawabu?Nadhani wafalme wa Saudi Arabia wanapaswa kuitwa anti Islam. Huwezi kujilinda utawale kwa kusingizia watu makusa na kuwachinja kama kuku. Waislam wanatakiwa kuungana kupinga huu ufedhuli
Acha uongo wewe, hakuna nchi ya wakiristu Ulaya. Labda Italy, nako asilimia kubwa ya vijana wala hawajishughulishi na huo ukiristo. Bali kuna ongezeko la watu wasioamini uwepo wa mungu.Mathalani wewe unaweza kutoka TZ kwenda Sweden kufundisha hiyo imani yako kwa waislamu waliopo kule mlivyo wa ajabu mnaanzaga na kudai haki zenu mara tunataka shariah mara muweke ma spika yenu yale, mara kitimoto kisiuzwe karibu na mskiti who will love you?
Hilo moja, mbili ni mafundisho yenu ni chuki plus chuki, unaenda kuzungumza ubaya wa wakristo and unaishi kwenye nchi yao are you f*ckin mad
Yani umeandika maneno meeeeeeeeeeeeeeengi alafu yote ni f*cktad tu 😏Acha uongo wewe, hakuna nchi ya wakiristu Ulaya. Labda Italy, nako asilimia kubwa ya vijana wala hawajishughulishi na huo ukiristo. Bali kuna ongezeko la watu wasioamini uwepo wa mungu.
Kama hujakanyaga Ulaya, nakusihi uende ukajionee. Siku ya juma moc na juma pili, wanaoenda kanisani ni kiduchu mno. Wazungu wengi hufanya mitoko na familia/watoto wao kwenda kuenjoy mazingira na kurefresh akili...Waafrika wengi kama wewe ndio huwa wanabebelea biblia zao kwenda kanisani kusali.
Wakoloni/wazungu waliwaletea Ukristo, lakini wao wengi wao wameshaubwaga kuufanyia kazi. Mmebaki nyie mlioletewa dini kwa meli (tena kwa lengo la kuwaandaa kutawaliwa na mkoloni) ndio mwajifanya mnaujua zaidi ya wao na kuwa wafia dini. Ajabu kubwa ya yote ni kuwa kwenye mafundisho ya biblia mmeambiwa Muafrika alitokana na uzao uliolaaniwa, kwa maana ngozi nyeupe ndio waliobarikiwa na Mungu na watukufu, halafu mnashindwa hata kuhoji.
Hiyo Sweden unayoipigia mfano, nani kakwambia ni ya kikristo. Acha kukariri kijana, kama hujafika Europe basi walau uwe mdadisi kwa kufatilia habari kupitia watu waliokwenda huko, wazungu wanaokuja tembea Afrika na pia search information kwenye vyombo mbalimbali vya habari.
View attachment 1404225
Aisee, we jamaa kweli kilaza, yaani hujui hata maana ya secular state?!Duniani hakuna Nchi ya Kikristo kikatiba nchi zote zenye majority Wakristo zinaitwa "Secular countries" including Tanzania!
Nitajie nchi ambayo majority ni waislamu na ni secular ni ipi?Aisee, we jamaa kweli kilaza, yaani hujui hata maana ya secular state?!
Yaani nchi ikiwa na wakristu wengi ndio yaitwa secular state?!
Haya mie najitolea kukuelimisha.
View attachment 1404260
View attachment 1404262
Hii nchi ya Czech Republic, watu wasiokuwa na dini ndio wengi (38.9%), wakati wakristo ni wachache zaidi (31.5%) na inaitwa secular state.Duniani hakuna Nchi ya Kikristo kikatiba nchi zote zenye majority Wakristo zinaitwa "Secular countries"
Tatizo lako ni mihemko isiyo na tija.Hii nchi ya Czech Republic, watu wasiokuwa na dini ndio wengi (38.9%), wakati wakristo ni wachache zaidi (31.5%) na inaitwa secular state.
Uwe wafatilia kijana, sercular state haihusiani na wingi wa watu wa dini fulani.
View attachment 1404276
Kwanza, naomba unisamehe kwa kukuita Kilaza. Ila na wewe usitumie lugha za matusi kama huko nyuma.Nitajie nchi ambayo majority ni waislamu na ni secular ni ipi?
Ukishindwa kafanye kazi zingine
Hizo apo nimekutajia nchi kibao kaka (kwenye post ya nyuma), punguza jazbaaaa!Tatizo lako ni mihemko isiyo na tija.
Nimekuuliza swali nitajie nchi ambayo majority ni waislamu na hiyo nchi ni secular hizo screenshots zako sizitaki.
Hiyo ndiyo Qur'an uliyoandika post yako namba moja?Katika mahojiano ya nadra sana ambayo aliyafana na Arab News mwaka 2003 al-Beshi aliwahi kueleza kuwa yeye si mtu katili kwa sababu ya kazi anayoifanya, kwani anajisikia fahari kufanya kazi hiyo ya mchinjaji kwa kuwa anaamini anafanya kazi ya mwenyezi Mungu kama ilivyoagizwa kwenye vitabu.
Pia anaendelea kujitetea kwamba kazi yake haimtengi na jamii kwa kuwa ana marafiki wengi msikitini na mtaaani, pia ana ndugu na jamaa ambao wanampenda na kumuelewa juu ya chaguzi yake hiyo ya ajira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaweza kumsaidia majibu toa majibu, unazi wangu wewe unakuhusu nini?Na wewe unashabikia nini? Ujuha?Acha unazi
Wewe unakuhusu nini? Au moyo inakuuma unapoisikia kuwa Qur'an ni tukufu?We Bibi muda mwingine weka udini pembeni,na pia Qur'an sio tukufu kama usemavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
mihadhara ya kapungu illunga ilikuathiri uwezo wakowa kufikiri na sasa unadhani hakuna nchi majority islam ni secularNitajie nchi ambayo majority ni waislamu na ni secular ni ipi?
Ukishindwa kafanye kazi zingine
Alafu acha kuniita kilaza I'll insult you badly you won't damn believe.
Mtu akiamua kuslim anaamua tu, sio lazma ashawishike na na comment yng JF mkuu, Uzuri wake miskiti na mashehe pamoja na Waislam wapo wengi sana Tz kila unapoendaUnavyohisi kwa komenti yako hiyo kuna mtu atashawishika kujiunga na hiyo dini?
Unachouliza hajakisema yeye. Ni watawala wa Saudi Arabia wanaodai hivyo. Tuambie kama siyo unazi unataka nini zaidi?Kama unaweza kumsaidia majibu toa majibu, unazi wangu wewe unakuhusu nini?Na wewe unashabikia nini? Ujuha?
Tusiende mbali sana. Inawezekana ndicho wanachoaminiUmesahau kuwa kuua humpatia mtu thawabu?
Nukuu huyo mtawala, kumbe hata unachokisoma hukielewi.Unachouliza hajakisema yeye. Ni watawala wa Saudi Arabia wanaodai hivyo. Tuambie kama siyo unazi unataka nini zaidi?
Acha unazi.