Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

Mbona nimeona kama amekuhakikishia uhakika wa kuendelea kula mzigo...

Nni tena unataka ndugu Pillato.!????

Ndoa ni mateso tu,,, achana na mawazo ya ndoa...
 
Mbona nimeona kama amekuhakikishia uhakika wa kuendelea kula mzigo...

Nni tena unataka ndugu Pillato.!????

Ndoa ni mateso tu,,, achana na mawazo ya ndoa...
Sio mimi mkuu,Ila jamaa alikuwa anataka ndoa sio kula mzigo tu
 
Samehe, jikung’ute, mavumbi tembea mbele

Likuepukalo lina heri na wewe

Ondoka kwa moyo mweupe sana, fanya umetoa msaada kwa mtu asiyekuwa na uwezo. Maisha yako ya mbele yatakuwa mepesi sana amini nakwambia alafu utakuja kuleta mrejesho.

Hakuna kitu kinatesa kama mtu akukosee lakini usilalamike wala kuonyesha chuki.
Onyesha kuwa hujaumia na uko sawa.
Muonyeshe upendo lkn kidogokidogo anza kujiondoa katika maisha yake.

Hii kitu itamuumiza hakuna mfano.
Singatia ushauri wa wadau hawa, hutajuta. Mungu atakutia nguvu na utaendelea na maisha yako vizuri....
 
Wewe ndo unastahili adhabu kwa kuingilia majukumu yasiyokuhusu,kujitia una huruma sana umeshapigwa na kitu kizi
 
Mkuu hiinpost si nzuri kwako na kwa baadaye! Jeshi la kulinda rain na mali zake wanaweza wakakufuatilia na kukuunganisha na makosa, c unaona bashite analalamika mitandaoni
Watajua wenyewe
 
Potezea bora hujaanza kumsomesha! Pia achana nae. Usirudie kulea mke wa mtu.
 
Huyo amekusaidia sana kukuambia wazi. Achana nae. Huyo anampenda bado huyo mwamba aliemchomeka mimba. Hata hivyo huyo mwamba hana future na huyo demu. Baada ya muda mwamba atambwaga tena demu. Demu atarudi kwako kukubembembeleza. Na wewe ulivyo falla utamkubalia kuishi nae bila kujua ana mimba ingine ya yule yule mchizi.

Mwanamke,kiumbe anaitwa mwanamke eti anakuingiza king kirahisi unamvumilia miaka mi3. Hapo lazima akuone bwege.
 
Ningemvumilia miaka mingapi mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu unawez kuuwa bila kukusudia ndo hivi sasa. Pole sana kaka
 
Back
Top Bottom