- Thread starter
- #21
Weka namba yake hapaNjoo nikupe mganga
Weka namba yake hapaNjoo nikupe mganga
Mganga mkuu ni Mungu mkuu.Weka namba yake hapa
Mnatuvunjaga moyo sana.Hatunaga shukrani...mwache akibuma akirudi tena mpige bisu mtupe jalalan.mbwa huyu
😂😂😂😂😂Naunga mkonoHatunaga shukrani...mwache akibuma akirudi tena mpige bisu mtupe jalalan.mbwa huyu
Waganga wenyewe matapeli tu hawana lolote.Mganga mkuu ni Mungu mkuu.
Huyo dada amechukua ile kitu kwani?
Umepungukiwa nini?
Usiteseke bure bado kuna wanawake waaminifu sana na warembo jipe muda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatunaga shukrani...mwache akibuma akirudi tena mpige bisu mtupe jalalan.mbwa huyu
Njoo usukumani nikupeleke Bariadi tukawafanye kitu hakuna rangi yenye wataacha onaUlianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka nawewe,anambwaga yeye pamoja na mimba yake.
Demu anakusimulia kila kitu anakuomba pesa ili akachomoe mimba kwa madai kwamba hana uwezo kujihudumia yeye akiwa na mimba pamoja na mtoto atakayezaliwa,Unamshauri asitoe
mimba utamsaidia kila kitu,demu anakubali na kushukuru sana,Baada ya kukubali nawewe unachomeka haja ya moyo wako, unamwambia bibie "mtoto akishafikisha miaka mitatu itabidi nikuoe,Demu anakubali na kuendelea kushukuru.
Mtoto anazaliwa sura kama ya baba yake,baada ya kutimiza miaka mitatu unamwambia bibie," Mtoto keshatimiza umri ambao tulishakubaliana kuoana inabidi nije kwenu nijitambulishe rasmi tuanze maisha ya ndoa,
Anakujibu " Samahani najua nitakukwaza sana suala la kuoana haliwezekani kwasasa ,baada baba yake mtoto kugundua mtoto ni wake alikuja tukamaliza tofauti zetu,na tumekubaliana kuoana mwakani,kilichonifanya nikubali kurudiana naye ni kitu kimoja tu sipendi kuzaa watoto kwa baba tofauti,nilikubali kuoelwa na wewe kwasababu sikuwa na namna nyingine,,Ukweli ni kwamba nakupenda sana na nathamini sana msaada wako,nakushukuru sana kwa moyo wako wa upendo please usiniache,sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa,bila wewe pengine ningeshakufa nikitoa mimba hata nisingekufa lakini huyu mtoto asingekuwepo,Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu.
Ni ndefu sana nisikuchoshe,Utafanya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] Bariadi kama BariadiNjoo usukumani nikupeleke Bariadi tukawafanye kitu hakuna rangi yenye wataacha ona
Mnauwa watu au senene?Tunauwa kwa gharama nafuu niPM
Sana broKumbe uko vyema?
Mkuu hiinpost si nzuri kwako na kwa baadaye! Jeshi la kulinda rain na mali zake wanaweza wakakufuatilia na kukuunganisha na makosa, c unaona bashite analalamika mitandaoniTunauwa kwa gharama nafuu niPM
Ushauri mzuri sana,ila hapo kwenye bia na kitimoto futa kauliSonga mbele watu wa dizani hii nature huwa unakuja kuwachapa makofi mazito huko mbeleni.
We cha kufanya kesho jumamosi kanunue kitomoto kilo moja na ndizi na pili pili shushia kwa bia bariiidi au soda fanta
Halafu endelea na dili zako fanya vile kama hujawahi kukutana na huyo mwanamke maisha mwako yaani kama hakuna kilichotokea.