Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

Adhabu gani inamfaa mwanamke huyu?

Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka nawewe,anambwaga yeye pamoja na mimba yake.
Demu anakusimulia kila kitu anakuomba pesa ili akachomoe mimba kwa madai kwamba hana uwezo kujihudumia yeye akiwa na mimba pamoja na mtoto atakayezaliwa,Unamshauri asitoe
mimba utamsaidia kila kitu,demu anakubali na kushukuru sana,Baada ya kukubali nawewe unachomeka haja ya moyo wako, unamwambia bibie "mtoto akishafikisha miaka mitatu itabidi nikuoe,Demu anakubali na kuendelea kushukuru.
Mtoto anazaliwa sura kama ya baba yake,baada ya kutimiza miaka mitatu unamwambia bibie," Mtoto keshatimiza umri ambao tulishakubaliana kuoana inabidi nije kwenu nijitambulishe rasmi tuanze maisha ya ndoa,
Anakujibu " Samahani najua nitakukwaza sana suala la kuoana haliwezekani kwasasa ,baada baba yake mtoto kugundua mtoto ni wake alikuja tukamaliza tofauti zetu,na tumekubaliana kuoana mwakani,kilichonifanya nikubali kurudiana naye ni kitu kimoja tu sipendi kuzaa watoto kwa baba tofauti,nilikubali kuoelwa na wewe kwasababu sikuwa na namna nyingine,,Ukweli ni kwamba nakupenda sana na nathamini sana msaada wako,nakushukuru sana kwa moyo wako wa upendo please usiniache,sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa,bila wewe pengine ningeshakufa nikitoa mimba hata nisingekufa lakini huyu mtoto asingekuwepo,Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu.
Ni ndefu sana nisikuchoshe,Utafanya nini?
Ulifeli sana Nigga, sema nini kausha fanya mambo mengine.
 
Sina Cha kukushauri, Ila naweza kwambia

"Sehemu ya kutumia akili, ulitumia hisia, lazima ujute mbeleni."
 
Naamin Mapenz yanauma Sana tena Sana ila nikwambie ukwel huyo mwanamke hajawai kukupenda Ata kidogo ila aliamua kuwa na wewe ili akidhi shida zake tu.
Pole Sana braza cha kufanya ni simple tu mwambie kuwa huna haja ya kuishi na mwanamke kama mchepuko ilihali wewe ndie ulipaswa kuwa mmewe then Songa mbele piga chini aina yoyote ya mawasiliano nae pambana na future yako ipo siku atazidiwa na shida zake atarudi hapo ndio utamuonesha kuwa hakuna mjinga dunian kwa kumuonesha huna haja ya kumfadhili sheten kwa Mara nyingine tena
 
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka nawewe,anambwaga yeye pamoja na mimba yake.
Demu anakusimulia kila kitu anakuomba pesa ili akachomoe mimba kwa madai kwamba hana uwezo kujihudumia yeye akiwa na mimba pamoja na mtoto atakayezaliwa,Unamshauri asitoe
mimba utamsaidia kila kitu,demu anakubali na kushukuru sana,Baada ya kukubali nawewe unachomeka haja ya moyo wako, unamwambia bibie "mtoto akishafikisha miaka mitatu itabidi nikuoe,Demu anakubali na kuendelea kushukuru.
Mtoto anazaliwa sura kama ya baba yake,baada ya kutimiza miaka mitatu unamwambia bibie," Mtoto keshatimiza umri ambao tulishakubaliana kuoana inabidi nije kwenu nijitambulishe rasmi tuanze maisha ya ndoa,
Anakujibu " Samahani najua nitakukwaza sana suala la kuoana haliwezekani kwasasa ,baada baba yake mtoto kugundua mtoto ni wake alikuja tukamaliza tofauti zetu,na tumekubaliana kuoana mwakani,kilichonifanya nikubali kurudiana naye ni kitu kimoja tu sipendi kuzaa watoto kwa baba tofauti,nilikubali kuoelwa na wewe kwasababu sikuwa na namna nyingine,,Ukweli ni kwamba nakupenda sana na nathamini sana msaada wako,nakushukuru sana kwa moyo wako wa upendo please usiniache,sipo tayari kuachana nawewe hata nikiolewa,bila wewe pengine ningeshakufa nikitoa mimba hata nisingekufa lakini huyu mtoto asingekuwepo,Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu.
Ni ndefu sana nisikuchoshe,Utafanya nini?
Duh mbona hzo bahati hazituangukii sie
 
Kosa ni kulea mimba ya mwanaume unayemjua,Kama mwenye mimba angekuwa hajulikani je, unaweza kulea?
Actually ingekuwa humjui nisingekulaumu maana kulea mtoto si dhambi maana tunaishi mara moja but mistakes ni hapo kumjua nigga alafu ukabeba mzigo wake then anakuja kukuachia maumivu ,
 
Back
Top Bottom