Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Mungu ataamua mwenyewe kuhusu mateso wanayopata watu wasio na hatia wanaofungwa kwa amri za Mwigulu Nchemba.
Watakulana wao kwa wao mpaka wamalizane.
Damu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.
Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...
Rage mzee wa kutukana/mzee wa bastola fsad alyekula pesa za FAT/TFF Rage mwiz na mlamba viatu vya Samwel Sita na Membe anaongea nini mwz tu Rage hana cha kuongea..Mungu ataamua mwenyewe kuhusu mateso wanayopata watu wasio na hatia wanaofungwa kwa amri za Mwigulu Nchemba. Watakulana wao kwa wao mpaka wamalizane.
Hizo project zake ni zipi? Na yeye mbona hajawahi kuwa mfanya biashara?Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
kweli mkuuDamu ya Msafiri Mbwambo, Mbwana Masoud, Daudi Mwangosi, Yohana Mpinga (yule kiongozi wa UVCCM kule Ndago), na wengine wengi, zitakaa kichwani.
Damu za majeruhi wa matukio mbalimbali, zitamwandama. Machozi ya watoto yatima, machozi ya wajane...machozi ya wananchi wasiofurahishwa na mambo haya, zitakuwa kichwani...
Lakini kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake juu ya nani anafaa kuwa raisi?watanzania tumefikia pabaya sana hivi kweli tunajadili hata EL kuwa rais kweli nchi hii watu wake wamefilisika akili
Hakuna wa kumzuia lowasa kuwa rais wa tanzania iwe ndan ya ccm au nje me npo radh kutoa mali zangu zote kuhakiksha lowasa anakua rais akna membe na sta maskn watahamishia familia zao ikulu kutapanya mali lowasa mirad yake tu kwa sku anaingza bilion 5..membe milion 5 sta milion 3.5 lowasa anaenda ikulu kutumikia watanzania wengne wote waganga njaa
ningekuwa na uwezo ningewachochea kina Rage, Mwigulu na wenzao wapingane zaidi na kurushiana shutma mbalimbali
Migulu akatwe mapumbu nchi itulie..