Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,624
- 2,880
Je, wanao unasaba na Familia ya mwansasu?Acha ubishi wa kirofa hiyo familia mm naijua mnoooo mwaka 1989 baada ya baba yao mzee Adolf MWAMUNYANGE kufariki mm nilikaa pale nyumbani maana Nina unasaba na ile family so naongea with vivid evidence Nasser alifariki siku nyingi kabla hata mdogo wake Looser hajafariki