TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Acha ubishi wa kirofa hiyo familia mm naijua mnoooo mwaka 1989 baada ya baba yao mzee Adolf MWAMUNYANGE kufariki mm nilikaa pale nyumbani maana Nina unasaba na ile family so naongea with vivid evidence Nasser alifariki siku nyingi kabla hata mdogo wake Looser hajafariki
Je, wanao unasaba na Familia ya mwansasu?
 
Je, wanao unasaba na Familia ya mwansasu?
Mama yao ukoo wake upo kwa Mwaijibe/Mwamakula/Mwambije...
Kaburi la bibi yao Aden upande wa mama yao lipo kwa mzee Lameck Mwaijibe kule Lukuyu.
Wana undugu na ukoo wa Mwakisisile, Mwakalukwa, Mwakalinga...
 
Back
Top Bottom