TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Pole sana kwa Familia kwani Marehemu aliugua sana na nakumbuka hata miaka ya nyuma 'alishazushiwa' mno Kifo ila aliendelea 'Kudunda' tu hivi.
 
Aden Mwamunyange, umenikumbusha enzi za lile Jeshi la Polisi la Kijambazi. Jeshi la Polisi linapitia nyakati ngumu zenye sura nyingi za ajabu.

Kutoka Ujambazi hadi sasa hivi walipoamua kuliweka chini ya Green Guard upande mmoja na upande mwingine kama moja ya Jumuiya ndani ya Chama.

Hili tusi zito sana
 
Siyo kweli Mdogo wake Nasson (Nasser) bado yuko, dada yake Mrs Kiboko naye bado yupo.
Acha ubishi wa kirofa hiyo familia mm naijua mnoooo mwaka 1989 baada ya baba yao mzee Adolf MWAMUNYANGE kufariki mm nilikaa pale nyumbani maana Nina unasaba na ile family so naongea with vivid evidence Nasser alifariki siku nyingi kabla hata mdogo wake Looser hajafariki
 
Jana nimekutafuta sijakuona mkuu
 
Back
Top Bottom