Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Jamani wanajf,hili jukwaa nimekuwa addicted nalo kupita kiasi. Sina tofauti na wale watumia madawa ya kulevya kama bangi. Ninaweza kulala bila kuongea na gf lakini sio kuchek jf na hasa MMU. Je hii addiction nikiendelea nayo haitaniadhiri kimahusiano? Wale walio kwenye serious relationship kama ndoa watuambie namna wanavyobalance muda wao wa kuwa na wapenzi wao na muda wa kuwa mtandaoni.