Addicted to MMU

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Jamani wanajf,hili jukwaa nimekuwa addicted nalo kupita kiasi. Sina tofauti na wale watumia madawa ya kulevya kama bangi. Ninaweza kulala bila kuongea na gf lakini sio kuchek jf na hasa MMU. Je hii addiction nikiendelea nayo haitaniadhiri kimahusiano? Wale walio kwenye serious relationship kama ndoa watuambie namna wanavyobalance muda wao wa kuwa na wapenzi wao na muda wa kuwa mtandaoni.
 
Wewe una lako jambo..................
 
Wenye ndoa zetu wote tupo jf. Mume memba. Mke memba..sasa wewe mwenye gf utaachika mda sio mrefu shauri yako. Tafakari na uchukue hatua mapema!
 
Seriously speaking ground zero ana point, jf hususani mmu in particular ina addiction ni balaa,kama unatumia simu ya mkononi ndo mbaya zaidi maana mko bar wenzio wanaongelea mechi ya barcelona we bize na kasimu kako.Tujadili hii mada kwa mapana yake na tusiipotezee,inatugusa wote bana hata kama wengine watajitia hawajaathirika!
 
Jamani wanajf,hili jukwaa nimekuwa addicted nalo kupita kiasi. Sina tofauti na wale watumia madawa ya kulevya kama bangi. Ninaweza kulala bila kuongea na gf lakini sio kuchek jf na hasa MMU. Je hii addiction nikiendelea nayo haitaniadhiri kimahusiano? Wale walio kwenye serious relationship kama ndoa watuambie namna wanavyobalance muda wao wa kuwa na wapenzi wao na muda wa kuwa mtandaoni.

hIVI AVATAR YAKO IMEANDIKWAJE VILE??????
 
Wenye ndoa zetu wote tupo jf. Mume memba. Mke memba..sasa wewe mwenye gf utaachika mda sio mrefu shauri yako. Tafakari na uchukue hatua mapema!

mwambie huyo! Lol! Namtafuta shemeji yako sijui kaingia jukwaa gani sahv.
 
Wenye ndoa zetu wote tupo jf. Mume memba. Mke memba..sasa wewe mwenye gf utaachika mda sio mrefu shauri yako. Tafakari na uchukue hatua mapema!

Sweetlady kakangu sijamuona toka aingie anga zako.... yukwap please??
 
Seriously speaking ground zero ana point, jf hususani mmu in particular ina addiction ni balaa,kama unatumia simu ya mkononi ndo mbaya zaidi maana mko bar wenzio wanaongelea mechi ya barcelona we bize na kasimu kako.Tujadili bana hii mada kwa mapana yake na tusiipotezee,inatugusa wote bana hata kama wengine watajitia hawajaathirika!

you hv a point mkuu...mi huwa na2mia nokia ya torchi kwa shuguli zangu za cku nzima..nikirudi nyumbani ndio muda muafaka wa kuinjoy na jf...imenifanya FB na social network nyingine nizipe less priority
 
Sweetlady kakangu sijamuona toka aingie anga zako.... yukwap please??
Lol... Usijali my lovely wifi...kakako yupo, tena bukheri kabisaa!..tumemaliza honeymoon jana...afu tumepangiana mida ya kuingia jf ili kulinda ndoa yetu changa...atakuja kukusalimu baadae ila uhakikishe husni hatakuwepo! Love you sana!
 
Back
Top Bottom