Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,001
- 6,659
Wanaiga kila kitu kilichobakia ni kuiga gwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jamaa zetu wameamua kuiongoza nchi kwa kuhakikisha wao tu wanatwaa madaraka. Lakini kinachowashinda na kitakachowashinda milele ni ile dhana ya kujibagua. Ukishajibagua unakosa umoja hata ndani ya kundi lenu mlilojibagua. Ndo mana utawaona KAFU na ADC wana malengo yanayofanana lakini WANAPINGANAmkuu hapo kwenye mabano ujue panafanya nikune kichwa mara 2.
Wanaiga kila kitu kilichobakia ni kuiga gwanda
mkuu, sina malengo kama unayodhania. Najua nyota 50 US zinawakilisha 'United states' ambazo zina constitute USA na EU vivyo hivyo.Kweli mapenzi ni upofu! Yaani wewe umeweza kuona nyota tatu kwenye bendera ya ADC (Ishara ya wanamuabudu Allah) kama ulivyosema, lakini huzioni nyota hamsini kwenye bendera ya US wala nyota 18 kwenye bendera ya EU! Pia umeshindwa hata kuona ishara ya msalaba (T) katika bendera ya Chadema! Ingawa unaiona kwenye bendera ya England!
Unaona kutoelewana kati ya KAFU na ADC, lakini huoni kutoelewana kati ya NCCR na CDM vyote baba mmoja mama mmoja!
Haya endeleeni na ukombozi wenu wa kijinga!
Chama kipya cha siasa ADC (Alliance for Democratic Change) kutumia bendera inayofanana kwa ukaribu na bendera ya CHADEMA linanitatiza xana, najaribu kujiuliza hivi kama bendera yao ingefanana na ya CCM kingepata usajili kwel? TIME WILL TELL! huu ni mtazamo tu wadau msijenge chuki!
Wameiga hii ya palestina halafu wakaweka nyota za philipine wakatoa ile alama ya jua
Hawa DAC ni w.a.s.e.n.g.e. Wanataka kufanya mambo yafuatayo waliotumwa na CCM:
labda mwingiliano wa rangi ila hazifanani kabisa kuweza kusababisha chadema walalamikie hili.
1.Mpangilio wa rangi
CDM~inaanza na light blue lkn ADC inaanza na Red
2.Alama zilizotumika
CDM wametumia alama za V(vidole viwili) wkt ADC wametumia alama ya Nyota
labda mwingiliano wa rangi ila hazifanani kabisa kuweza kusababisha chadema walalamikie hili.
hawa dac ni w.a.s.e.n.g.e. Wanataka kufanya mambo yafuatayo waliotumwa na ccm:
kuthibitisha hoja yangu nina maswali yafuatayo: Je walikosa rangi nyingine mpaka cdm wabuni nao wakopy? Ufafanuzi nwa bendera yao ni upi kwa maana ya kila rangi inasimamia nini? Na vinyota je? Nasikia uzinduzi wao umefadhilriwa na mafisadi, wanapinga hili?
- kupunguza kura kwa kuwachanganya wasiojua kusoma na kuandika wachanganywe na rangi
- kujifanya kuwa ni wapinzani walio na mwelekeo wa cdm
i hate them! tayari wanaturudisha nyuma kule tulipotoka mpaka tukampata mkombozi chadema. Wanaturudisha nyakati za lyatonga a, dr. Masumbuko, bagenda, nk.
Kama wanapenda cdm kwanini hawakujiunga nacho. Hawa ni wahuni!
Hapa tunaongelea TZ na vyama si bendera za taifa/nchi fulani. Wamekosa rangi????
Hazina maaana yoyote mkuu ila kikishapata usajili wa kudumu wataongeza MWEZI kwenye hizo nyota ili iwe nyota na mwezi, ilete maana iliyokusudiwaNa hizo nyota tatu zinamaanisha/wakilisha nini!???