ADC na bendera kama ya CHADEMA

ADC na bendera kama ya CHADEMA

nimewaona leo wamepita mitaa ya kwetu..
 
Msajili kasema kama cdm wakilalamika kuhusiana na hilo la bendera basi adc inabidi wabadiri.

yaani huyu msajili naye bila ya kumung'unya maneno anasubiri chadema walalamike,hii nchi inahitaji watu makini
 
Mbona tofauti iko wazi kabisa jamani ama mnataka kudhihirisha ule msemo usemao Men are colour blindness.
 
labda mwingiliano wa rangi ila hazifanani kabisa kuweza kusababisha chadema walalamikie hili.
 
ngoja kwanza niende arumeru, nikirudi ntajibu swal lako
 
Kama mwanzo tu hawajui hata bendera za wapinzani wao sembuse nchi nani atawapa?
 
Sikumbuki, lakini kuna watu walitaka kuanzisha chama kwa jina TANU, Lakini msajiri wa vyama wakati huo akawakatalia kutumia jina hilo, kwasaabbu lina unasababu na CCM. TANU + ASP = CCM
 
Hii hapa ya CUF.
tz%7Dcuf.gif
 
Mpango kabambe wa ccm kutaka kuidhoofisha chadema, hiyo bendera haikubaliki kabisa. Wanachadema wote tuipinge, huu ni undumilakuwili si wangetumia ya ndugu yao ccm au ya mama yake cuf

Hizi ndio akili za matope hizi, kuna mahali imeandikwa hapa tanzania kwamba ni marufuku kutumia rangi hizo kwa sababu ni za chadema? Inamaana chadema ndio waliotunga rangi duniani?! Non sense!!
 
Bendera yao haifanani na bendera ya chadema, bali woga unawasumbua, wao ndio walioiba rangi za CUF mbona cuf walikaa kimya, ADC bendera yao ina nyota CHADEMA vidole viwili kuashiria wizi.
 
brother unamfanya zito kuwa kama mzimu kila kona unamweka. remember politics was for prince' and generals.
 
suala si rangi ndugu ila pattern ya rangi zilivyotumika
 
Back
Top Bottom