M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 7,235 Reaction score 4,342 Apr 11, 2012 #101 mkuu duniani.hakuna mtu au kikundi chenye hati miliki ya rangi .Hati miliki ni kwenye nembo tu mkuu
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,430 Reaction score 9,889 Apr 11, 2012 #102 Makupa said: mkuu duniani.hakuna mtu au kikundi chenye hati miliki ya rangi .Hati miliki ni kwenye nembo tu mkuu Click to expand... mkuu ni pana zaidi ya nembo.
Makupa said: mkuu duniani.hakuna mtu au kikundi chenye hati miliki ya rangi .Hati miliki ni kwenye nembo tu mkuu Click to expand... mkuu ni pana zaidi ya nembo.
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 9,654 Reaction score 13,842 Apr 11, 2012 #103 Sasa unataka waseme nini? Au wakashitaki?