ADC na bendera kama ya CHADEMA

ADC na bendera kama ya CHADEMA

Na hizo nyota tatu zinamaanisha/wakilisha nini!???
 
1.Mpangilio wa rangi
•CDM~inaanza na light blue lkn ADC inaanza na Red
2.Alama zilizotumika
•CDM wametumia alama za V(vidole viwili) wkt ADC wametumia alama ya Nyota
 
Vita sasa inageukia kwenye rangi, mtahaulishwa Arumeru Mashariki !!!
 
Wala haitawasaidia kitu. Chama sera na watu makini. Chadema haiwezi kudhoofishwa kwa mbinu za kitoto namna hiyo.
 
Hakuna mfanano wa bendera ni uoga wa CDM na kuweweseka maana wanajua HR anatisha akishaanza kupanda jukwaani upepo utabadilika
 
Hakuna mfanano wa bendera ni uoga wa CDM na kuweweseka maana wanajua HR anatisha akishaanza kupanda jukwaani upepo utabadilika
sijaona wala kusikia hamad rashid kawa mwanachama wa hiki chama,,.wewe ndio unaweweseka na iticuf yako
 
Chama kipya cha siasa ADC (Alliance for Democratic Change) kutumia bendera inayofanana kwa ukaribu na bendera ya CHADEMA linanitatiza xana, najaribu kujiuliza hivi kama bendera yao ingefanana na ya CCM kingepata usajili kwel? TIME WILL TELL! huu ni mtazamo tu wadau msijenge chuki!
 
Another CCM move to try to create confusion towards CDM members, funs and supporters. Shame on weakest politechnics.
 
Kiukweli hao magamba c hebu tafadhari wajitahidi kuonyesha hashima kwa CHADEMA vinginevyo kuendelea kutumia bendera hiyo ni kututaka,tutawaharibia mapema sana na wasijerogwa wakakatiza nayo mitaa ya Mwanza.Hawatasahau kilichowaleta hapa mjini,Rangi za magamba wenzao zipo nyingi mara kijani mara njano kwanini wasitumie hizo,wanazani it will be an advantage through CDM`S Flag to gain a nearly political adc growth, hilu mayu bumama shi.
 
Back
Top Bottom