ADC na bendera kama ya CHADEMA

318145_264683836950900_100002278567469_562734_171476896_n.jpg


chadema.jpg
Labda amemind swga za magwanda!
 
uongo ukiachwa muda mrefu bila kukanushwa hugeuka ukweli.bendera ya ya ADC imefananaje na cdm?mbona hamkusema kma bendera ya cdm ilibadilishwa rangi ili ifanane na cuf?acheni woga.cdm ina vidole v2, ADC ina nyota3 wap na wap?huo u ccm mnao utaja ni upi?mbona nyny mlienda kunywa juice ya ccm wa2 hawasemi...
 
Hiyo yenye nyota nyota design yake kama bendera ya wapalestina kasoro ni rangi tu, nadhani ADC wamekusudia kuwapelekea CUF ujumbe. Si unajua wafuasi wengi wa CUF ni akina nani??
 
hakuna issue hapo mbona south africa, jamaca na tanzania wana rangi zinafanana??

tusihangaike sana
 
Kwani zimechorwa sawa? Kama mnalalamika rangi basi kwaambieni CDM waende kuziandikisha copyright na trademark,,,, michoro ipo tofauti, tena kama wametumia rangi kama za cdm hizo rangi hazijamilikiwa na cdm!! Tuache ujinga,,,,
 
mbona ya marekani ina nyota hujatabili itaongeza mwezi? kma leo unataka kujua maana ya nyota nyota za marekani zina maana gan?acheni woga jipangeni
 
ma taahila ni viongozi wa cdm,(MASHIMBONI)walioigilizia sale za mgambo ili hali likirushwa bom moja la machozi pipoz pawa inahamia chmbani
 
Kwanza sikuwahi kujua kama kuna chama kinaitwa Alliance for Farmers Party (AFP). Sasa jana kupitia clouds tv nikaona malalamiko ya m/kiti wa afp, kwanza nikajua ni NGO fulani kumbe chama cha siasa. Sasa wanalalamikia Alliance for Democratic Change, kuwa majina yanafanana. Kwamba msajili wa vyama aangalie utaratibu wa kubadili jina la adc. Nikajiuliza mbona ccm sikuwahi kusikia wakilalamikia ccj na cck na cdm? Nikasema kaaz kwel kwel. Nitoke vipi? AFP tumewasikia
 
Adc hata kazi haijaanza nynyi tayali mavi yanagonga chupi.kazeni buti safari bado iko ubungo
 
Mpango kabambe wa ccm kutaka kuidhoofisha chadema, hiyo bendera haikubaliki kabisa. Wanachadema wote tuipinge, huu ni undumilakuwili si wangetumia ya ndugu yao ccm au ya mama yake cuf[/QUOTE]
 
Tangu chama kimoja cha siasa kisajiliwe na Kuonekana bendera yao inafanana na ya Chadema. Sijasikia lolote kutoka katika uongozi wa juu wa chama. Au wameridhika, Wasije wakalalama wakati muda umepita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom