Hali ya CCM ni mbaya sana. Watu hawamtaki magufuli mchana kweupe. Historia kuu inaenda kuandikwa Tanzania mwaka huuHuko ndani wanashikana uchawi bila kurogwaView attachment 1576467
Kwani siku hizi umehia tena ACT? Kwakweli nimeanza kuamini kuwa kachero mbobezi ni kipenyo tu. Pambaneni.Atajinyea yeye na kale kamguu kake.
Ben aombe msamaha arudi nyumbani