ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

Machali umejimaliza nyie watu wa kigoma sijui vipi yaani ni wasaliti sana tukiwapima hamtoshi kabisa

Mkuu, ni maamuzi binafsi ya mtu na hatuwezi kubrand kwamba ni usaliti. Madiwani 20 wa CCM wamekuja CHADEMA, nao ni usaliti pia? Lembeli kachomoka CCM na Lowassa anapigiwa chapuo aingie CHADEMA. Nadhaani na huu ni ''usaliti'' pia, au sio?
 
Zitto alihama chama akaitwa msaliti,Machali nae kahama chama anaitwa msaliti,ila lembeli, bulaya na lowassa wenyewe hamuwaiti wasaliti,kwann mnapenda sana kuwasema hovuo watu wa Kigoma?kila anaewachukia watu wa Kigoma amchukie kwanza mama yake.
 
Back
Top Bottom