ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

Zitto alihama chama akaitwa msaliti,Machali nae kahama chama anaitwa msaliti,ila lembeli, bulaya na lowassa wenyewe hamuwaiti wasaliti,kwann mnapenda sana kuwasema hovuo watu wa Kigoma?kila anaewachukia watu wa Kigoma amchukie kwanza mama yake.

Mkuu siasa siyo matusi,kajifunze kwanza
 
Ahsante mkuu, usituchukie sana Mkuu. Hizi ni siasa tu, ukizingatia Lembeli na Lowasa wamekuja kwenu

Mkuu siwezi kuwachukia ki hivyo kwani hizo ni siasa,husijali tupo pamoja na wote ni ndugu
 
Zitto alihama chama akaitwa msaliti,Machali nae kahama chama anaitwa msaliti,ila lembeli, bulaya na lowassa wenyewe hamuwaiti wasaliti,kwann mnapenda sana kuwasema hovuo watu wa Kigoma?kila anaewachukia watu wa Kigoma amchukie kwanza mama yake.

Said arfi,shibuda,Mrema pia waliitwa wasaliti nao ni wa kigoma toa ubaguzi wa kikanda sasa
 
Rome was not Built in a Day...

Hawa jamaa wakiwa strategic wakianzia huko kwao Kigoma kama watapata hivyo viti wakifanya kazi ya kuonekana na kuwatetea wananchi wao.., pole pole huu mchicha unaweza ukawa mbuyu.., cha maana wafanye kazi zao na kuwatetea wananchi na sio blah blah blah..
 
Lazima iwe mwandiga maana ndio wanaikubali hiyo chama

hukumbuki Mwembeyanga alivyowachapa wakat na ninyi mlipokiweka kibabu pale Blue Pearl na kuuonyesha mkutano wenu live na mwingine sijui Kawe-tuwe wakweli jmn CDM mmepwaya mno
 
Rome was not Built in a Day...

Hawa jamaa wakiwa strategic wakianzia huko kwao Kigoma kama watapata hivyo viti wakifanya kazi ya kuonekana na kuwatetea wananchi wao.., pole pole huu mchicha unaweza ukawa mbuyu.., cha maana wafanye kazi zao na kuwatetea wananchi na sio blah blah blah..

CDM miaka 20 na ruzuku zote hawana hata Ofisi kwhy mnataka ACT ikue mwaka huu
 
Hata chadema walianza hivihivi watafanikiwa maana kigoma inawabunge makini wote wakienda act ,itakuwa zaidi ya cdm ndni ya miaka 2,tu.
 
Wanaosema Machali kapotea hawajui siasa za mkoa wa Kigoma.Na wala hawajui pia nguvu ya ACT kwa sasa jimbo la Kasulu mjini,jamaa kaifagia NCCR,ameondoka na wengi na wananchi bado wanamkubali na hakika jamaa atarejea bungeni.Tatizo lenu mnapiga siasa za jf wakati wenzenu wako field!! Hamuijui Kigoma.
 
nadhani umefika wakati wa kurudi katika mfumo wa Nyerere wa chama kimoja kwani mfumo wa vyaa vingi, tumeshindwa kuuelewa na kuutumia
 
Back
Top Bottom