ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

Machali umejimaliza nyie watu wa kigoma sijui vipi yaani ni wasaliti sana tukiwapima hamtoshi kabisa

Hizo unazoongea sio siasa umewasahau waliohama vyama? Mrema, Slaa, Lembeli, Wasira, Bulaya je wote hao ni wa Kigoma ?usiwadharau ndio siasa zetu
 
Nahisi safari yake kisiasa ndo inaelekea mwisho vile. Anyway lets see
 
Back
Top Bottom