ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

kumbe mwaka huu hizi siasa zimekua hivi....!! ndugu nanyi mmeamka au mnangoja kuamshwa......??
 
Teeeeeeeeee teeeeeee kweli naanza kuamini wanasiasa wa bongo kabobo nyingi kumbe wale wale wapiga dili tu hongera kjana machali history itakukumbuka.
 
Poor Machali.Nimemdharau sana huyu jamaa.Bunge atalisikia tu haingii tena.

Naona umekuwa mungu ttzo huijui kasulu upepo wake ni act machali sio mjinga na siasa sio uhasama ni timing tu
 
Naona umekuwa mungu ttzo huijui kasulu upepo wake ni act machali sio mjinga na siasa sio uhasama ni timing tu

Ngojea wamuone Kafulila anavyokosa ubunge kwa kugoma kwenda ACT Wazalendo ndio watakapoijua Kigoma
 
huyu machali si kunakipindi aling'aka kuwa zito anataka kupindua uongozi wa mbatia? duh siasa burdan sana.
 
ni mwaka wa kujaza upinzan mjengon.. majungu atutaki tuwape moyo so far bado wako upinzan kelele za wanaoafki waseme ndio zikome bungeni.. piga kaz machali ujakosea uko sahihi
 
cjaelewa huu upinzani wa tz ukoje?mpinzani anapambana na mwenzie ina maana cii kukiondoa cham tawala?nn mkosamaliiiiiiiii
 
Siasa ya bongo kweli ni ya kula matapishi mwaka juzi Zitto akihutubia uwanja watax kasulu alisema Machali atakuwa kalaaniwa kwa kuungana na viongozi wa Nccr kutaka kumvua Kafulila ubunge ambae ni ndugu wa mkoa mmoja.Leo alikuwa anamuita kaka Zitto baada ya kulikoroga Nccr na kujua watampiga chini kakimbia mwenyewe ACT.Ndugu zangu waha nawajua hawatampa tena ubunge leo walimshangilia kwa heshma ya Zitto.
 
Safari hii kazi ipo ACT-Wazalendo wanafanya usajili wa uhakika.
 
cjaelewa huu upinzani wa tz ukoje?mpinzani anapambana na mwenzie ina maana cii kukiondoa cham tawala?nn mkosamaliiiiiiiii
Kamanda hujashangaa Mbowe anamkaribisha Lowassa wakati yupo kwenye orodha yao ya mafisadi.
 
Back
Top Bottom