Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Anacheza pata potea ,lolote laweza kutokea
Amepotea kisiasa
Karibu kwa wazalendo
Nashaka na kura za ACT vs Kura za lowasa
Ila lembeli amelamba dume sio
Yametimia....
Ameisha karibia
Kafulila atafuata njia hiyo usiwe na shaka, subiri muda ufike..
Hapo Mwandiga?
Hakika Mkuu...Zitto atakuwa amepata faraja kubwa kuungana na kijana machachari kama machali.
Mkuu hongera sana kwa kuweza kumpumbaza,huyo dogo kwa kumshawishi kuacha neema na kuingia kwenye njaa,kwani ubunge kwa huyo dogo ni kitendawili.
Karibu kwa wazalendo
hatimaye yametimia, je nikweli kwamba machali aliogopa mafuriko ya act? mini chanzo cha yeye kutimuka? karibuni.
Safari hii mkipata udiwani lazima mfanye sherehe