Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Majaliwa mwenyewe mkristo.Huko Ruangwa kuna wakristo?
ACT ushauri wangu kwenu. Hiki sio kipindi cha kukaa kimya. Chukueni ushahidi tumeni kunakohusika. Mwaka huu hadi uishe lazima tuhakikishe kuwa kuna arrest warrant za ICC zimetoka kwa viongozi wa Tanzania wanaoendesha nchi kwa udhalimu.
Enough is Enough!!
Tusiyojaua kuhusu yeye ni 1. Rangi ya nywele zake 2.Rangi ya ngozi yake 3. Dini yakeSikudhani kwamba huyu waziri mkuu naye ana mambo ya ajabu ajabu namna hii, Hafai!
Kesha hapa ukitetea uovu boss.
Angejenga Airport yangekuwa manenoHakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujenga uwanja wa mpira
Ndiyo wapo wakristo wa Katoliki wengi sana.Huko Ruangwa kuna wakristo?
Ndiyo wapo wakristo wa Katoliki wengi sana.
Hao ni chadema wanatafuta huruma ya wananchi.Yani hata picha hamna? Huu uhuni wa wapinzani mwisho oktoba
Tena apigwe ukumbi kabisa huyu inzi wa kijaniCha kufanya hakikisheni nanyi mnamteka kiongozi wa ccm, safari hii mlie wote.
Ni aibu kuleta habari kama hii bila picha,
Tunawajuwa wapinzani
Usilete ujinga hapa nyie mmetekana wenyeweHata CCM tunasikitika mgombea wetu wa CCM Arusha ametekwa na kupigwa hatujasikia lema akikemea au kulaani
Akae mkao wa kuondoka, kwani yaonyesha Kabudi anaweza kuwa PM kama CCM itashinda. Mark my words.Mwanasiasa yoyoye yule yeye ni maslahi kwanza,akiona maslahi yake yako kwny hatihati ndipo utamjua vzr.
Kwa hio hii unayoiona sasa hivi ndio true colour ya mkuu.
Wanachoogopa ni kuwa hakuna garantii kwenye uchaguzi. Uchaguzi ukisimamiwa kwa haki hadi Majaliwa anapigwa chini.Ni aibu sana kwa Kasimu Majaliwa kufanya siasa za kishamba kama hizi