Act like a Lady, Think like a Man

Act like a Lady, Think like a Man

And from the looks of it he made a killing. Couple that with his nationally syndicated morning radio talk show and the feature film based on on it- Think Like A Man-, he is sitting pretty.

Na alikuwa na kipindi BET
Kama cha hiyo radio show
watu wanamuuliza maswali .mostly ladies about relationships ..
ametajirika na hii kitu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwa mfano, nina tabia (sijui ni mbaya au ni nzuri) nikitambulishwa kwa mwanamke, kama amependeza kutokana na efforts zake, huwa namwambia genuinely and innocently kuwa amependeza.

Hahahaaa umenikumbusha Obama na Kamala Harris. Siku hizi kumwambia hivyo mwanamke kunaweza kukuingiza kwenye matatizo. Hebu ona alichosema Obama kuhusu Kamala:

Obama caused a stir on Thursday when he remarked on Harris' appearance during a Democratic National Committee fundraising lunch in Atherton, Calif.

"She's brilliant and she's dedicated, she's tough," Obama said of the California attorney general. "She also happens to be, by far, the best-looking attorney general ... It's true! C'mon."

Basi acha PC police wamshikie bango! Halafu sasa cha kushangaza yeye mwenyewe Kamala wala hakuwa offended. Ikabidi POTUS amvutie waya kumuomba radhi.

California Attorney General Kamala Harris accepted President Barack Obama's apology for calling her "by far the best-looking attorney general," the San Francisco Chronicle reports.

"The Attorney General and the President have been friends for many years," Harris spokesman Gil Duran said in a Friday statement. "They had a great conversation yesterday and she strongly supports him."

Halafu kuna huyu sportscaster, Brent Musburger. Naye alisababisha firestorm alipomsifia Katherine Webb, girlfriend wa Crimson Tide (Alabama) QB AJ McCarron.

PC police acha wamshikie bango. Ikabidi naye aombe radhi ingawa mdada wa watu wala hakuwa offended!

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Na alikuwa na kipindi BET
Kama cha hiyo radio show
watu wanamuuliza maswali .mostly ladies about relationships ..
ametajirika na hii kitu

Nakumbuka zamani, vitabu vingi vyenye maudhui kama haya vilikuwa kwa ajili ya wanaume.

Vitabu hivyo vilikuwa vinawafundisha wanaume techniques mbalimbali za kuwapata wanawake kirahisi.

But most of the techniques didn't seem to work na wanawake wengi walizijua hizo techniques baada ya baadhi yao kuvisoma hivyo vitabu.

So, the market seems to have dried up, and presumably wameamua sasa kutafuta soko jingine kwa kuwa-target wanawake. I am sure watauza sana.

Kwa vile Mwali kasoma hiki kitabu na na kwa vile ametupatia kopi na sisi tusome, basi siku akitujia na kujifanya ku-think like a man, tutajua moja kwa moja kuwa ni kopi and paste kutoka kwenye hiki na tutamchinjia baharini fasta.
 
Steve Harvey atatoa tu part 2
au hata part three trust me...ni business kashapata
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hahahaaa umenikumbusha Obama na Kamala Harris. Siku hizi kumwambia hivyo mwanamke kunaweza kukuingiza kwenye matatizo. Hebu ona alichosema Obama kuhusu Kamala:

Basi acha PC police wamshikie bango! Halafu sasa cha kushangaza yeye mwenyewe Kamala wala hakuwa offended. Ikabidi POTUS amvutie waya kumuomba radhi.

Halafu kuna huyu sportscaster, Brent Musburger. Naye alisababisha firestorm alipomsifia Katherine Webb, girlfriend wa Crimson Tide (Alabama) QB AJ McCarron.

PC police acha wamshikie bango. Ikabidi naye aombe radhi ingawa mdada wa watu wala hakuwa offended!

Hehehe. Huku kuitiwa mpaka polisi mbona noma.

Sasa tuwe tunawaambia nini wakipendeza?

Some looks absolutely beautiful yaani hata kukaa kimya unaweza kuwa arrested.

Kwa stahili hii hata kumgeukia mwanamke ambaye amejipendezesha itakuwa ni criminal offence.
 
Last edited by a moderator:
Let's play...

PS4_BoxPromo.jpg

Prepare to get whupped 😀
 
Kwenye kitabu hiki Steve ana wa enjoy mno wanawakealiposema ili kuridhika wanahitaji four different menni kama amesema its impossible kumridhisha mwanamke lol
Kuna ka ukweli fulani kwa baadhi km si wengi wao.
 
Nope, kwa kweli sihitaji

Nataka mwanamme anayefikiri kiume, ndo raha yake.

Kuna tatizo kwani?

Hebu tugeuze dhima kidogo, wewe unaweza kutoka na mwanaume anayefikiri kama mwanamke? Au, unaonaje kutoka na mwanaume anayefikiri kama mwanamke? Inakuja kweli?
 
we unao wangapi?
Hesabu utajua...wa kitandani,wa chit chat kny jf, wa kunishaur tu, wa kunifanya niwe happy 2 in social life, wa kunibembelez nikilia yaan stress zozote wa kwanza yy kuzijua,wa kazini loh mbona simaliz!!
 
una SACCOS kumbe eh?
 
ukimaliza na hicho some Why Men Love Bitches: From Doormat to Dreamgirl cha Sherry Argov.
 
Ha ha ha, maelekezo yakiwa mengi mno unaweza sahau wewe ni nani.

Natumaini huhitaji shaver.

Itakuwa miongoni mwa wale "who are trapped in wrong bodies"

Mwanamme ndani ya umbo la kike!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom