Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,609
Ha ha ha, afadhali kuna mtu ana opinion hii
Wanamme akili zao zinafanya kazi tofauti na wanawake
Ya nini niwe na mwanamke anayefikiri na kuwaza kama dume? Haihusu kabisa aisee.
Nitajisikia kama vile niko kwenye mahusiano ya kiliberali.