Act like a Lady, Think like a Man

Act like a Lady, Think like a Man

Agreed.

Kutokuelewa kuko sana, tena kwa pande zote mbili.

Kwa mfano, nina tabia (sijui ni mbaya au ni nzuri) nikitambulishwa kwa mwanamke, kama amependeza kutokana na efforts zake, huwa namwambia genuinely and innocently kuwa amependeza.

Noma, ni ukishaondoka eneo la makutano, nakuja kuambiwa baadae kuwa, "...unajua yule mwanamke niliyekutambulisha siku pale blah blah?" ...... "Ana-kumind.."

Sometimes, just joking around, tayari mwingine anachukulia seriously.
hapo twaelewana.....
siyo kila anayekuwa nice kwako anakutamani.....
kuna wengine ndo tupo hivyohivyo kwa kila mtu, sasa sijui tunatamani kila mtu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
congraturation lady for respecting the MAN. But you can't think as we do. Can you be a road sign to other womens?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom