Acne and darksports solution

EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
1,178
Points
2,000
EvilSpirit

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
1,178 2,000
na mapajani kuna hilo tatizo embu weka picha ya paja tuone dada maana mh
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
6,375
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
6,375 2,000
Tumia cleanser ya African black soap

Mask tumia bentonite clay with rose water

Oil tumia 1tablespoon of argan oil/castor oil + 3drops of lemon essential oil

Matokeo utayafurahia my dear
 
Heisenberg

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Messages
935
Points
1,000
Heisenberg

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2017
935 1,000
Umeanza kupost Picha yako JF. Subiri Misongo ya fisi
 
Ray of light

Ray of light

Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
92
Points
150
Ray of light

Ray of light

Member
Joined Sep 8, 2018
92 150
Hapo camera imenistiri
Your beautiful either way. Anyway mimi hutumia potato juice naweka kidogo limao kisha napaka usoni kila usiku nalala nayo ila unaweza kutoa baada ya dakika 30
 
Trinity Darrell

Trinity Darrell

Member
Joined
Apr 27, 2019
Messages
11
Points
45
Trinity Darrell

Trinity Darrell

Member
Joined Apr 27, 2019
11 45
Habari zenu jaman mwenzenu Nina ngozi sensitive lakin chunusi zinazowasha na makovu meusi yameharibu uso wangu naombeni msaada nitumie nini ambacho sio kikali kwa ngozi yangu maana pia hutokewa na mabaka meupe Kama utangotango nmetumia dawa nyingi lakini bado
Tumia african black soap
 

Forum statistics

Threads 1,324,827
Members 508,836
Posts 32,173,697
Top