Kafanyaje?Lema kashatooka.
Leo kuna muda wetu tumeupanga. Mark my words, watarudi hapa macho na masikio yao yakiwa hayaamini.Mnajitoa ufahamu au siyo,hii ngoma tutachezeshana Kwa miaka mitano iliyobaki.
Itakuwa funga fungua funga fungua.....
Matak yenu
Muda wenu na upo online 😂Leo kuna muda wetu tumeupanga. Mark my words, watarudi hapa macho na masikio yao yakiwa hayaamini.
TunawasubiliMuda wenu na upo online 😂
Umeambiwa ni SMG na magazine mpyaaaa.Mabadiliko yeyote yanahitaji ustahimilivu.
Je, utaweza kustahimili maumivu ya kifimbo cheza cha police?
Kuna Moja ya laws of power inasema "Destroy your enermies completelly".Umeambiwa ni SMG na magazine mpyaaaa.
😂😂😂😂😂😂