Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,680
- 5,653
TumuombeeCoca una mapepo?
TumuombeeCoca una mapepo?
Mahiii najua hamuwezi kuelewa, ila mnisameheee.Coca una mapepo?
Si wewe tar 29 tulitoka kupinga uhuni wa gavoo.!! Na risasi ikakukosa IMEKUWAJE TENA? 😥
Yanini mtoto wa kiume unakuwa kama mwali wa kizaramoMungu yupi? Wa Machame?
Mbona mie niko na wapigania uhuru kila dkk, ila haya nayoyafanya kuna baadhi ya watu ndo nataka iwafikie.Pole mkuu but ukombozi hauwi wa siku moja, kama kweli una crave mabadiliko kama unavojinasibu kukata tamaa ni mwiko.
Na hata wewe ukikata tamaa usikatishe tamaa wengine, una watu wengi una wa motivate hata wasipojiweka bayana mkuu.
Mwisho lolote lilikokutisha tamaa i hope and pray you heal from it, kila la kheri mkuu katika njia yako mpya.
Wamekutibua nini?Mahiii najua hamuwezi kuelewa, ila mnisameheee.
Sio kwamba nafanya haya kukatisha tamaa au napenda ila bas tUuh.
Kuna Waja wamenitibua asubuhi hii ya leo humu ndani sina hamu hata.
Bado masaa mawili.Ya Leo mkuu
Ahsanteee mahiii, ngoja tuamke tupiganie kile tulicho kianzishaaaa.Wamekutibua nini?
Na kwanini uwape umuhimu kwenye maisha yako?
Udugu simamia haki na kile unachokiamini, hao wapuuze.
Safari ya ukombozi haijawahi kuwa nyepesi watatokea wavurugaji..!!
Wacha tuone huyo Mungu atafanya nini leo.Bado nina imani kuuu Mungu yu pamoja nasi hata sasa.
🫡Ahsanteee mahiii, ngoja tuamke tupiganie kile tulicho kianzishaaaa.
Mapambano yaendeleee, tchao.
Hawa watu hawafikri vizuri, hii nguvu iliyotumika wamefikiria imegharibu kiasi gani cha fedha, Uchumi unazama wao wanakebehi, binafsi kama hali itakuwa shwari nitaambia vijana asanteni kwa kutoandamana na sio kuwakejeli, Jeshi/Polisi wamejaa road halafu unasema MAANDAMANO hayajafanikiwa, akili za kijinga sijapata kuona.Mbona kejeli sana?
Swadaktaaaa!!!