Kwahiyo mkuu umefarijika sana maandamano kufeli?? Nlidhani wewe ni mmoja wapo wanaopigania injustice am so disappointed aisee!
Sikiliza Naa, mie ni m1 wa wale waliotaka kuwa wakombozi wa hii nchi, na nikuambie Tar 29 nilinusurika risasi, wa pembeni yangu alikufa huku nashuhudia,
Toka ile siku sikuwa sawa km siku 4, nikaja kuwa na nafuu, na toka pale nilikua 1 ya watu niliokua napigania kuhusu hili la leo, na nilijipanga kutoka tena road ikiwa hamasa itaonekana, na sio hapa tyuuh, Toka IG, X, Tiktok etc.
Siku zote hizo kuna kitu kilikua kinaumiza nafsi yangu, nilivumilia, ila leo asubuhi nimeshindwa kuinafikia Nafsi yangu.
Nimeona niende na inavyotakiwa kuwa km wao wanavyotaka.
Sio wee pekee ako uliyekua disappointed, wako watu wamekuja had DM, kuniuliza kulikoni, mbona nimebadilika ghafla, nimejibu nimebadilika kwa kuwa nimebadilishwa.
Mnisamehe kwa kweli, UNAFIKI siuweziii.