Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

usiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.
Mmh weeeeee hahahahahaha sidhani
 
kumbe!!nilitaka kutuma kesho tu nauli lindi-moro
mhm nywele zimesimama dalili ya kupigwa hii nimeiona tayl.
 
Achana naee anatamaa
 
Kabsa izi tafrija kwa washkaji nimehudhuria sana
na nmetoa mialiko sana yani ukishaona demu uliemtegemea aje alafu ajibu/anasua sua kujibu sms au calls zako kinachofata n tafrija ya ghafla hakuna namna
ha ha ha ha
 
Pole sana mkuu, me dem akisema tuma nauli huwa namwambia chukua uber ntalipa huku akija gheto kurud ndo atapewa ya kurudia, wanawake saiv wamekua wamjin sana
 
Me nilishapigwa sana aisee, nakumbuka mara ya mwisho demu tunachat ananipa kabisa na locationa mara ndiyo tumepita Mombo, mara Korogwe..... ghafla baada ya kufika kwao Kimara eti shangazi amelazwa Muhimbili anaenda kumchek, hapo ndiyo nilipostuka kuwa nimeshapigwa ikabidi niongeze bia tu. Sikumuona tena. Sasa hivi situmi nauli kabisa kwanza demu akishaanza nitumie nauli najua hamna kitu hapo nampotezea mazima....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…