Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
- Thread starter
-
- #161
Asante Sana aisee ,yani ukiona mpaka mtu anasimamisha ujue kavumilia mengiIla wanaume mnavumilia vingi sana.
Poleni...
Daa aisee ,hatari sana Hadi watoto wanaogopa kukaa na mzazi wao wa kike1. Wanaume mnawasingizia. Wanajidanganyaga kuwa,wakijichubua ndo watakuwa wazuli na kupendwa. Kumbe siku hizi hata kuwatumia tu,hawana ushawishi. Waache wajichubue watajuta. Ila kiukweli hata kukaa nae hapana,hata kudate ti hapana,achilia mbali kuvuta kitu.
2. Kumbe?! Mi nkajua labda udi wamechoma,au marashi fulani wananyunyizia ndani.
Miaka ya nyuma wakati hili sekeseke ndo linaanza,kuna mama mmoja alikua anatokea kwenye familia yenye uwezo. Miaka kama 30 iliyopita. Kachumbiwa, fresh tu. Kipindi hicho inasemekana walitumia machine kuchubuliwa. Sijui ni kweli au la. Dadeki. Kifaa kiligeuka kifaa. Kama mzungu. Enzi hizo hata hii miwani ya machinga ilikuwa dili,mama wa watu akawa anavaa. Badae,mambo yakaenda ndivyo si vyo,na kilomita zinasoma. Sasa hivi ukimuangalia, hadi kinyaa. Kazaa mitoto ya kike, sasa inadai inaona aibu kukaa nae.
Huyo hata kumlala sitaweza, yaani ngozi tofauti kila mahali, harufu za ajabu aagr⁸!
Ndo maana unaambiwa wana vichwa viwili. Cha juu kinajikaza kwa mda,chenzie kinaburudika. Ila baada ya hapo,hata akipiga simu,anapigwa lock.
Daa embu cheki ngozi yake ....Yani bitches wengine hawana haya kbsa
😁😁😁na inaonekana unajua mengiNa ushangazi wetu kujichubua vipi?watu tuna ma sunscreen,ant-oxdant,vitamin C,Kwa Nini tusiglow mashangazi?
Huyu mama,ni nesi. Kipindi hicho,nadhani ndo wa kwanza kuibua hilo zoezi. Sema yeye ilimkubali hakuwa na hata dot nyeusi. Alibadilika akawa mweupe kinoma. Kila mtu awe mgonjwa au muuguzi,alitamani hata kumgusa,hasa kwa waliomfahamu kabla. Bahati nzuri,hakuwa na roho mbaya,akiona unamuangalia sana umepigwa butwaa,atakuita msalimiane kwa mkono. Si unajua mambo ya vijijini,alitamba kwa uwezo na ujanja.Daa aisee ,hatari sana Hadi watoto wanaogopa kukaa na mzazi wao wa kike
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mjinga ni huyo alompa nafasi hapoDaa embu cheki ngozi yake ....Yani bitches wengine hawana haya kbsa
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
kama alishindwa kunyooshwa na baba/mamaake, ww mliekutana wote mkiwa na vu.z ndio utamuweza kumnyoosha?Mjitahidi kuwanyoosha, kuwaelewesha na kuwaaminisha kuwa walivyoumbwa ni wazuri sana.
Huyo nae hamna mme hapo. Mengine mazamiaji tu.hizi nyumba zinamengi bro angu, unakuta jike bishi na jeuri kichizi mwamba anaamua aliachanize tu lifanye linavyotaka lenyewe
Atakuwa ana darasa la skin care kule Whatsappna inaonekana unajua mengi
Hapo amalizie tu uzee wake Kwa majutoHuyu mama,ni nesi. Kipindi hicho,nadhani ndo wa kwanza kuibua hilo zoezi. Sema yeye ilimkubali hakuwa na hata dot nyeusi. Alibadilika akawa mweupe kinoma. Kila mtu awe mgonjwa au muuguzi,alitamani hata kumgusa,hasa kwa waliomfahamu kabla. Bahati nzuri,hakuwa na roho mbaya,akiona unamuangalia sana umepigwa butwaa,atakuita msalimiane kwa mkono. Si unajua mambo ya vijijini,alitamba kwa uwezo na ujanja.
Huu muili,uacheni tu. Nadhani mwenyewe atakuwa anajutia alichokifanya.
Hivi ngozi kung'aa ni mpaka vipodoziWanunulieni wanawake zenu vipodozi vya bei ghali wapendezeshe ngozi zao, acheni kuwasimanga
DaaHuyo nae hamna mme hapo. Mengine mazamiaji tu.
Jirani kuna lijama, limemdandia mtu,mama ana watoto 3, hamna hata mmoja wa kwake. Nyuma ni ya urithi. Mama mkologo umemkataa,kweupe ni mzungu. Kweusi ni kama wa Sudani kusini au mjal...... wa Kisumu.
Sasa mfano kama huyo,asiponyamaza ataenda wapi?
nilivokuwa chuo nishaona wakaka wawili kwa nyakati tofauti wanatumia mafuta yanayochubuaTengua kauli hiyo tafadhali. Uliwahi ona mwanaume amejichubua?
Hao si yo wanaume. Ni watoto wa kiume au viumbe wenye maumbile ya jinsia ya kiumenilivokuwa chuo nishaona wakaka wawili kwa nyakati tofauti wanatumia mafuta yanayochubua
Mitoto ya kiume ndo inajichubuaga. Ila, kila mtu na akili zake. Na vituko hivyo,vijijini unavikuta kwa mashoga,sema tu watu hawaelewi ni watu wa aina gani.Usisahau wanaume
lkn kuna watu ndo rangi zao zipo ivo hawajichubui lkn uso wake unang'aa zaidi kuliko mwili au wengine uso umefubaa mwili unang'aa
Trust me hawaskusikii ongezs ssuti
Na tatizo jingine kuna watu weusi mpaka gizani huwaoni labda skenue meno nje na ndio sababu ya wao kujichubua