Acheni kujichubua

Acheni kujichubua

wanaume wanajichubua wakikaa kwenye joto au jua kidogo tu wanakua hawaoni vizur wanabadilika rangi kabsaaaa unaweza kuta kila mtu anamshangaa kumtazama na huwa wanajishtukia na kuona aibu sana wanatamani kupaa kutoka kwenye eneo walilopo...
 
Kujichubua ndo wanaita skin care siku hizi.
Hapana mkuu, labda huko bonyokwa ndani ndani wameanza kumistake
Skin care (utunzaji wa ngozi) na bleaching (kujichubua).

Skin care simply ni kuijali ngozi kwa kuwahusisha/kuhusisha products ambazo zimethibitishwa na madaktari wa ngozi wa “kimataifa “. (Certified international Dermatologists)

Of which skin care kuna za watoto, wanawake na wanaume kulingana na mahitaji ya ngozi husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom