Achana na DSTV njo uku...

Arsenal

Senior Member
Aug 12, 2008
190
71
Kwa wale ambao wanaona DSTV ni bei sana kwa mwezi njo uku abu dhabi tv network ambayo unanunua dikoda inaitwa Humax yenye kuchukua two smart cards ya barclays kwa ajili ya english premier league na smart card ya aljazeera kwa ajili ya La liga, hii dikoda inabeba smart card zote mbili na unainunua kwa usd 275 (includes a year subscription)lkn bila dish (bongo dish ni km laki ivi)ambapo utakuwa na uwezo wa kupata channels nyingi za kawaida plus 19 HD sports channels etc, hii kitu kwa mwaka ni usd 120 tu..renewal ya kila mwaka kuna njia nyingi nowdays online kwenye website yao pia its possible Abu Dhabi TV Network au thru western union etc etc....kwa maelezo zaidi just google adtv na peruzi peruzi apa Abu Dhabi TV Network | FREQUENTLY ASKED QUESTIONS (FAQ)

cheers!
 
Thanx nimekutana na mwarabu chuo udsm ana mgahawa pale Tuki amenielewesha vizuri sana, hapa nilipo nawait bonus yangu itoke nifunge geto maana malipo ya dstv yanapasua kichwa,, kuna mshkaji yupo kariakoo opposite na posta bank anafunga hizi vitu kwa lak 8 kila kitu kuanzia decoda, dish na 1 year subscriptions na ni High Definition unakula skysport safii mechi zote
 
Nasikia iyo ngoma dsm tuu mikoani vip jamani maana kuna haja ya kuhamia uko
 
Kuna jamaa yangu yupo Iringa aliambiwa kitu hakivunginkitonga ie moro kurudi dsm ngoja nicheki
 
Kuna office pale kariakoo near posta bank msimbazi.. Ulizia abudhabi sports dealers... Watu wanaoutumia wengi sana nowdays
 
mbona siku hizi hatupati zile mbc channels?unaweza kunisaidia ili zirudi tena maaana zilikata tangu sept.
 
habari mkuu..
tafadhali naomba kufahamu kama hizo ch. za EPL wanarusha kwa lugha ya kiingereza au kiarabu? ahsante
 
Kwa wale wapenda soka, hasa ligi ya Uingereza Live tuwasiliane. Nauza HD Decorder za Abu Dhabi Sports kwa bei nafuu. HD AD Sports package ndio kimbilio la wajanja...Ukinunua King'amuzi cha AD Sports unapata channel zenye kiwango cha High Definition za mipira, movies, news, na cartoon. Istoshe unakuwa huru mwaka mzima--kwa maana kwamba huitaji kulipia kila mwezi. King'amuzi tayari kimeshalipiwa mwaka mzima. Karibu, SH Computer Center, Kariakoo, kona ya mtaa wa Msimbazi na Aggrey. Endapo uko serious, tafadhali, piga: 0714 284 475, 0712 399 999 au ni-PM
 
mpira unaongea kwa lugha gani? Na mbc channel zipo?na cartoon network na boomerang zipo?
Pia upande wa music Trace urbun na Mtv base zitapatikana?
 
me mpenz wa muvi Nasikia zile channel za muvi za Mbc zimepotea kwa sababu gan au tatizo kwa wengine 2
na channel za miziki y mbele wanazo?
 
Kwa wale ambao wanaona DSTV ni bei sana kwa mwezi njo uku abu dhabi tv network ambayo unanunua dikoda inaitwa Humax yenye kuchukua two smart cards ya barclays kwa ajili ya english premier league na smart card ya aljazeera kwa ajili ya La liga, hii dikoda inabeba smart card zote mbili na unainunua kwa usd 275 (includes a year subscription)lkn bila dish (bongo dish ni km laki ivi)ambapo utakuwa na uwezo wa kupata channels nyingi za kawaida plus 19 HD sports channels etc, hii kitu kwa mwaka ni usd 120 tu..renewal ya kila mwaka kuna njia nyingi nowdays online kwenye website yao pia its possible Abu Dhabi TV Network au thru western union etc etc....kwa maelezo zaidi just google adtv na peruzi peruzi apa Abu Dhabi TV Network | FREQUENTLY ASKED QUESTIONS (FAQ)

cheers!

kama huta mind naomba nkutafute tuonane unisaidie zaidi kufunga na wapi nikanunue
 
kama huta mind naomba nkutafute tuonane unisaidie zaidi kufunga na wapi nikanunue

poa kuna number ntakupa ya fundi yeye atakusaidia katika kila kitu ila initial investment ni kubwa kidogo but after that unateleza...
 
Wapi mkuu tukanunue?tuje abu dhabi au watatuma kwa dhl?weka na namba ya fundi ili atupe ushuhuda how is working in tanzania?
 
Back
Top Bottom