The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
poa kuna number ntakupa ya fundi yeye atakusaidia katika kila kitu ila initial investment ni kubwa kidogo but after that unateleza...
ok naiomba hiyo no please
poa kuna number ntakupa ya fundi yeye atakusaidia katika kila kitu ila initial investment ni kubwa kidogo but after that unateleza...
Uelekeo gani umefunga km ni 64.5°E TBC wame upgrade receiver iwe na uwezo wa 4k ndo unaweza kuwapataHabari wana jamii forum msaada kwenu dish langu linaandika no channel no data available dish kubwa receiver mediacom 930
Sent using Jamii Forums mobile app