Acha unafiki!

Acha unafiki!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
TIM;Hivi lini utastaarabika Tom,kila tukipewa vipande vya nyama wewe unawahi kipande kikubwa mimi unaniachia kidogo,why? TOM;Wewe ungekuwa wakwanza kuchagua ungechukua kipande kipi? TIM;Kwa sababu mimi ni mstaarabu ningechukua kipande kidogo! TOM;Sasa unacholalamika ni nini,kumbe hata ukiwa wa kwanza kuchagua nyama utachagua kipande kidogo basi kipande kikubwa ni halali yangu!
 
JF... Huwezi kununa siku nzima... Senkyuu Mkuu!
 
Back
Top Bottom