Acha na snap, kuna AI hapo mjini selfa 😊

Acha na snap, kuna AI hapo mjini selfa 😊

Pamoja na hayo yote 80% ya pisi za selfika ni mbovu mno , ila zipo nyumbu kisa kutojiamini zinadai ni kali gademitt😅

Na hiko ndio Kiwango cha juu kabisa cha kukubali upumbavu humu kwamba kisa ipo jf tudai ni kali kumbe ni nyumbu tu , humu kuna digidigi naona wamechanganyikiwa😅
JF hakuna kazi mbovu bwashee 😁😁
 
Ni mtu mzima hata hiyo 40 kadanganya..!!

Shida yake hapendi kusikia ukweli, kuna kipindi alimganda ephen akamtolea nje..!!

Akajifanya kumjua binti kiziwi naye mate wangu m-Cuba akajichenga akaja kwa shes rise akamkwepa akaanzisha chuki za kumchukia hata akikuta sehemu wanamsifia anamponda 😹😹😹

List ni ndefu, kikubwa ndugu zake kina Red black wamuwahi kabla hajavua nguo..!!
Basi imetosha😀
 
Bora hata chiwawa anatafuta sifa ili atrend jukwaani lakini sio min mtu mzima kisheti. Yupo kama bamia linaharibikia ukubwani..!!
Bamia inayoharibika ukubwani inakuwaje!

Nakereka tu vile unakuja kuwasema wanawake wapo hivi na vile, mara mashavu mara nini. Kwa mtu mzima sio sawa, haya mambo tuwaachie 20s wafanye.
 
Unaambiwa siku zote

Wakiitwa wazuri sijui nawe utatoka,
uso kama mbuzi wa shughuli usojua kupoodooka,,

wakiitwa wazuri sijui nawe utatoka uso km mbuzi wa shughuli usojua kupoodooka....


Ngoja nipekue mafaili nikumbuke nyngn
 
Back
Top Bottom