Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

Huku Japan hufanya haya.......

Motor-vehicle inspection (Japan)

Shaken (車検?) is the name of the vehicle inspection program in Japan for vehicles over 250cc in engine displacement.

Reason for existence

The inspection system is in place to ensure cars on Japanese roads are properly maintained and are safe to be on the road. Another reason is to determine if a car has been illegally modified . Illegally modified vehicles and vehicles deemed unsafe by police will have a red sticker with the following: fuseikaizousha (不正改造車?) (Illegal Vehicle) in yellow and the date the vehicle was declared not fit to be on the street.

Registration and Cost
Before a test can be administered on a vehicle the owner of the vehicle must call up a Shaken center and make an appointment by phone after which the owner must fill out paper work at the center. The cost for the Shaken is broken up as follows: 1,400 yen for paperwork and processing, 25,200 yen for the testing, 29,780 yen for 24 months of validity and 8,090 yen for "Recycling Department" with fees being added depending on the vehicle and its intended use (business, personal, commercial, etc.). These variables can result in a shaken costing from 100,000 to 150,000 yen or more. [1] In comparison to the costs of the shaken a full diagnostic inspection of the very same Japanese models in the U.S. may cost less than $100 USD (9,400 yen).

Note: If your car is in good condition with no mechanical problems, the shaken only costs about 60,000 yen, and includes 2 years of compulsory auto insurance. So at an exchange rate of 100 yen per dollar, the cost is about $300 per year, which includes insurance. The high cost quoted above only occur when the car requires repair, or when extra fees are paid to third party companies to take the car in for the inspection if you are unable to get off work for a few hours. Stories of outrageous shaken costs are a category of tall tale that has recently come under study by anthropologists and folklorists studying expat life in Japan, and are closely related to the "$100 watermelon" class of urban legend. Expatriates will engage in head-to-head improvised competitions to see who can claim the highest shaken fees.

Renewal periods for vehicles

* Personal cars and 2 wheeled motorcycles have the first shaken last 3 years with every 2 years requiring a new shaken.
* Personal light trucks they must have a shaken done every 2 years.
* Personal trucks have the first shaken last 2 years with every year requiring a new shaken.
* Business cars require a shaken every year.
* Special vehicles require a shaken every 2 years.

Testing process

The process of the shaken is very simple and the following tests and steps are as follows for government inspection testing (however a licensed garage can also do this):

* 1: An exterior inspection to ensure the vehicle meets Japanese exterior regulations and does not have illegal exterior modifications (ie: extreme body kits).
* 2: A wheel alignment inspection to ensure the vehicle has its wheels in-line and can turn correctly.
* 3: A speedometer inspection to ensure the vehicle's speedometer is accurate.
* 4: A headlight inspection to ensure that the vehicle's headlights are correctly placed and aligned so as not to be in-line of other drivers' sight.
* 5: A brake inspection to ensure the brakes work correctly.
* 6: An exhaust gas/muffler inspection which includes testing carbon monoxide and hydrocarbon emissions along with exhaust noise levels.
* 7: An undercarriage inspection which includes looking at suspension parts.

Should a car not meet any of the tests it will have to be repaired and retested before passing.

Requirements for tests
Exterior


* Tailpipes: Tailpipes are not allowed to protrude past the car's body however tailpipes that are built into the side of the vehicle are allowed.
* Body kits/Aero parts: Aerodynamic mirrors, windage trays under the tail section of the car and body kits using front bumper scoops are allowed. However all aerodynamic parts must fit and be molded correctly so they are flush with the car's body.
* Fenders and Overfenders: All fenders and overfenders (including widebody style-kits) must not inhibit the turning of the car's wheels (which must be able to turn 30 degrees inward and 50 degrees outward).
* Spoilers: All spoilers (aftermarket or OEM) must not be wider than the car's rear and must be bolted to the car's trunk.
* Tail-lights: LED and traditional bulb tail-lights are allowed for all vehicles as well as European style fender turn-signals. However American style rear tail-lights and non amber-color turn-signals are not allowed.
* Windows: No tint can be present on driver and passenger side windows however commercial UV window blocker is allowed. Lexan windows are not allowed unless they are approved via a case by case basis. Stickers/banners on the front windshield and rear glass are not allowed. Etching on the windows, with the exception of VIN information, is not allowed.

Speedometer

The speedometer of the car is tested by driving up on to a dynamometer. The vehicle will be accelerated to 40 km/h twice and the vehicle's speedometer reading will be recorded; should the reading be different, it will not pass.

Headlight

All headlights must be aligned to be in a straight line with their height on the car. Halogen, HID and bulb style head lights are allowed. All headlights must have the same color when turned on. Headlight swaps, making pop-up headlights into normal headlights, rally-car style multiple headlights and putting trim around headlights is allowed.

Exhaust/Muffler

Cars that are 10 years and newer must have carbon monoxide measurements of 1% and hydro-carbon output of 300ppm. Cars older than 10 years must have carbon monoxide measures of 4.5% and hydro-carbon output of 1200ppm. High flow catalytic converters are allowed however gutted ones are not. All O2 sensors must be in working order along with any oil catch tanks. Mufflers when tested for noise output will be tested at a 45 degree angle at a 50 cm distance. For vehicles 10 years and younger the max level allowed is 96 dB (decibels). For vehicles over 10 years of age the max level allowed is 103 dB.

Suspension

All bushings must not be broken or in bad condition. All control arms must be in working order. There can be no rust/corrosion on springs, struts or other suspension components. If the car has 4 wheel steering it must be working. The vehicle must also meet minimum height requirements which will be checked by referencing the lowest part of the vehicle (not including the suspension components). For vehicles with 200-249 cm wheelbase they must be 8 cm off the ground and vehicles with 250-299 cm wheelbase they must be 9 cm off the ground. For all other vehicles for every 50 cm over 299 cm in wheelbase add .5 cm to the minimum height and for vehicles under 200 cm in wheelbase subtract .5 cm to the minimum height.

Interior

General interior equipment must be still intact (ie: dash). Roll cages (must have padding around bars) and carpet removal are allowed. Bucket seats must measure 420 mm from left to right bank but can not be over 450 mm from left exterior side to right exterior side (total width of seat). Aftermarket seats made of fiber-reinforced plastic are not allowed. Any holes or rips in seats must either be taped up or repaired.

Workarounds

Many people create workarounds in order to have a vehicle that is otherwise illegal pass inspection. Some of the typical workarounds are putting flanges in the exhaust that are mostly metal with a few holes drilled, airing up the tires more in order to gain height for the vehicle, putting ceramic pipe between the spring and the spring's seat in order to raise vehicle height (this is commonly done on lowered coilover suspensions), reconnecting exhaust gas recirculation devices, removing injector connectors from the ECU (engine control unit), taping off parts of the headlight's housing in order to make the headlights look correct, cleaning the underside of the vehicle to hide signs of oil leaks and trapping the speedometer so it registers the same numbers when tested on the dynamometer.

As vehicles get older, maintaining them at the standards required by the shaken can become expensive. This is because beyond the tuner scene, most Japanese do not get involved in mechanical repairs, and as a result, mechanics can charge high prices. Vehicles which cannot pass inspection are not allowed to be driven on public roads. Unwanted vehicles must be destroyed and recycled, or as some do to make more profit, export the vehicle. As a result, many Japanese used vehicles are exported to other nations right before or after their Shaken is up.

SASA SISI MBONA HATUNA MFUMO KAMA HUU?
 
Kinachotokea most of the time ni ubovu wa magari ya kubeba mizigo mizito. Madereva wa magari haya mara nyingi utasikia wakilalama kwamba gari limefeli, hii hutokana na kuwa barabarani wakati halikidhi viwango vya operation hasa ukizingatia mizigo mizito wanayobeba. Kuna sababu ya madereva wazembe, lakini barabara mi naona iko swaafi tu. Kaa kungekuwa na madereva wenye subra na magari mazima yanayokidhi viwango vya kubeba mizigo mizito mambo yangekuwa swafi tu.
 
Mzee Mwanakijiji..Sisi tunaoangalaia kwa jicho la mtu wa ndani,Pale ni madhabahu,ndiyo maana hakuna damu pale imeenda wapi!!!?angalia vizuri picha za ajali vizuri.pale panahitajika kuachilia damu ya YESU ndio kweli pekee,hakuna sayansi
 
Kama tatizo ni la kisayansi, watu muafaka wa kutuambia nini kinaendelea wangekuwa ni wale wataalamu wa barabara wa Kitivo cha uhandisi UDSM,ingawa siku hizi wanajiita chuo kikuu kishiriki.

Bahati mbaya wataalamu hawa mara nyingi wamekuwa kama hawapo. Hawatoi msaada wa kitaalamu katika kusaidia kumaliza matatizo ya kihandisi yanayotuzunguka, kwa mfano foleni kubwa za magari, ajari zisizo katika, mipangilo mibaya ya miji etc etc.

Pengine ni kwasababu wanaona hawatanufaika na lolote... This time pengine wanaweza kuitikia mwito wako.

Bwana Ndahani wataalamu wa chuo kikuu wapo na wanafanya utafiti kama kawa. Ila tatizo nchi hii siyo uhaba utafiti na mawazo ya kimaendeleo. Tatizo ni kinachofuata baada ya ripoti ya hizo tafiti kutolewa. Suluhu ya matatizo mengi ni za muda mrefu na zinataka kujitoa mhanga kwa viongozi na wananchi.

Hapa nchini mambo yote yanaishia kwa wanasiasa ambao ndio hasa wanaofanya maamuzi ya nini kifanyike kuhusiana na hizi ripoti za utafiti wa kitaalam. Na huku kwenye siasa tuna mafisadi wa elimu ambao wanapenda majibu rahisi rahisi kwa matatizo magumu.

Si ajabu sasa hivi wasomi wengi wanaamua kuwa wanasiasa kwani huko hauhitaji kutumia sana akili ili ufanikiwe.
 
Kwa uzoefu wangu tatizo kubwa la kipande cha barabara toka Mlandizi had Kimara na barabara zingine ni visibility. Sehemu hii ya barabara inabidi ifumuliwe/ kujengwa upya--
 
Hatuezi kufanya procedures za wajapan mkulu, wanayo system yao ambayo ina kila kitu. Ni vema tushughulike na tunayoyaweza kwanza.

Nakubali...lakini tunaweza kui-study hiyo system na ku-adopt yanayowezekana...mfano ukaguzi wa haya malori kwa utaratibu uliopo wanatakiwa wafanye hao VEKO sijui...sasa wanafanya saa ngapi na wapi...manake malori yalivyo makubwa basi pale central hapatatosha..na tungeyaona...ili iwe effective iundwe idara tofauiti na traffic police kwa kuwa hawa VEKO(vehicle inspectors) wa polisi hawana utaalamu zaidi ni kutokana na ranks zao tu za kipolisi...kutoka kuongoza magari barabarani mapaka kukagua magari...ndio maana hawakagui bali huchukua mshiko wa wamiliki
 
Can somebody articulate why it seems there is some kind of a pattern or a logical explanation of why some of the most grisly accidents have happened in or near Kibaha for many many years now? Is there any scientific reason for these occurrences that our rulers have overlooked?

Kwa sababu siamini kama ni wingi wa magari au ufinyu wa barabara tu unaweza kuelezea ajali hizi. Kuna kitu kinasababisha na nina uhakika siyo cha kishirikiana lazima kuna sababu ya kisayansi ya matukio haya.

Tembeleeni tovuti ya "Bobo" ina picha za ajali mbalimbali za vyombo vya usafiri hasa Bongo.. na mnaweza kupata picha ya jinsi gani kuna mahali kuna tatizo ambalo linaweza kuelezeka kisayansi na kutatulika kwa kiasi kikubwa kisayansi.

Mkuu kwa kifupi ni kwasababu madereva wanakuwa wamechoka na pia wanakuwa relax kwamba wameshafika mwisho wa safari zao hivyo wanapoteza umakini ndiyo ajali nyingi zinatokea maeneo hayo vilevile ni ubovu wa magari unachngia.
 
Naishi mkoani na mara nyingi nimekuwa nikiendesha kuja na kutoka Dar es Salaam; kuna siku niliendesha kutoka Singida kuja Dar es salaam na uchunguzi wangu ulikuwa kama ifuatavyo

Kutoka Singida Mpaka Dodoma

hakukuwa na ajali hata moja! Pamoja na kuwa sehemu nyingi barabara hii inajengwa; barabara ni pana na alama za barabarani nyingi zinaonekana vizuri.

Kutoka Dodoma mpaka Kibaigwa

nako sikukuta ajali; ingawa hali ya barabara ni ya kuridhisha pamoja kuwa kumewekwa matuta mengi sana njiani tena wakayi mwingine ni katikati ya pori! well ni eneo la ranchi ya taifa ya kongwa ndi lilikithiri ila sijajua utaratibu waliotumia kuweka matuta mengi namna hiyo.!

Kibaigwa- gairo nilikutana na ajla km 15 kabla ya Gairo eneo hili lina kona isiyo dhahiri na upande utoka dodoma hauna kiashiria cha mabadiliko ya barabara na hali ilikuwa ya mvua na ukungu kiasi; Gari husika iliaacha njia.

Gairo - Morogoro

Ajali 3 mbili ni za magari madogo na 1 ni gari la mizigo moja ya ajali hizi iliua watu wote wa 3 waliokuwemo kwenye gari Dogo; eneo hili lina lami inayotereza na kumewekwa ilani kwa madereva kutokwenda kasi ukiacha gari kubwa ambalo lilizidiwa mlima na kuserereka na hatimaye kupinduka, ajali nyingine zilionyesha dhahiri uzembe! lakini najiuliza hali hii lami kitu ambacho kipo kwa miaka mingi sasa!

Morogoro - Chalinze

Ajali 1 pale Ubena dereva alijisahau na kuvaa tuta!
kwa umbali wa mita 100 huwezi ona alama za tuta hili; hivyo ni lazima uwe mzoefu wa hiyo njia


Chalinze - Kibaha

Ajali 5!
Huwezi kuamiani lakini kwa uzoefu mdogo nilionao hili ni eneo ambalo limeendelea na litaendelea kutafuna maisha yetu na kuangamiza mali zetu! Kipande cha Chalinze Mlanzi katika eneo hili kina lami ambayo kama ni dereva utagundua kuwa ina mawimbi ya ajabu; lakini wahusika wamejitahidi mno kuweka ilani karibu eneo lote wakituonya tusikimbie lakini wapi; nilipitwa na magari mengi eneo hilo amablo kwa kuwa mie nilikuwa nakwenda 60-70 km/h nadhani wao walikuwa zaidi ya 120 km/h!

Nadhani yeyote anayeifahamu hii njia atakubaliana na mimi kuwa incase of emergency na unakwenda kwa kasi ya hao jamaa lazima upatikanane na ajali hii ikizingatiwa kuwa barabara eneo hili ni mbaya!
 
Can somebody articulate why it seems there is some kind of a pattern or a logical explanation of why some of the most grisly accidents have happened in or near Kibaha for many many years now? Is there any scientific reason for these occurrences that our rulers have overlooked?

Kwa sababu siamini kama ni wingi wa magari au ufinyu wa barabara tu unaweza kuelezea ajali hizi. Kuna kitu kinasababisha na nina uhakika siyo cha kishirikiana lazima kuna sababu ya kisayansi ya matukio haya.

Tembeleeni tovuti ya "Bobo" ina picha za ajali mbalimbali za vyombo vya usafiri hasa Bongo.. na mnaweza kupata picha ya jinsi gani kuna mahali kuna tatizo ambalo linaweza kuelezeka kisayansi na kutatulika kwa kiasi kikubwa kisayansi.


Jibu langu linatokana na hoja kama ifuatavyo


Morogoro road inafeed miji/barabara zifuatazo
  • Kibaha, Kongowe, Mlandizi, Chalinze hapa nina maana kuna Mabasi yanayofanya safari za Dsm-Kibaha-Dsm, Dsm-Kongowe-Dsm, Dsm-Mlandizi-Dsm. Dsm-Chalinze-Dsm, hapo pia kuna Magali yanayofanya shuguli tofauti na ubebaji abiria kama Magali ya maofisi, malori ya kubeba mkaa nk
  • Ni hiyo Morogoro road inafeed Barabara ya Chalinze- Segera Ambayo nayo inakuja gawanyika moja ya kwenda Tanga-Mombasa na nyingine Moshi, Arusha-Kenya na Uganda
  • Ni hiyo Morogoro road inayotufikisha Morogoro Ambako nako kuna Magali yanayosafiri kati ya Dsm-Morogor-Dsm.
  • Ni hiyo Morogoro road inafeed barabara ya kwenda Dodoma na mikoa yote ya kati hadi Mwanza
  • Ni hiyo Morogoro road inafeed barabara ya kwenda Mikumi Ambako kuna Branch ya kwenda Kilombero, Ifakara na pia Iringa, Songea Mbeya, Malawi, Zambia na Congo
hasa kwa usikHivyo jibu ni kuwa barabara imezidiwa zinatakiwa zijengwe barabara kama Mandela road yaani Dual cariageway Kuanzia Dar mpaka Chalinze, hapo hamtasikia ajali tena, kutakuwa na ajali ndogo za kukwaruzana au kugonga gari lililosimama bila kuweka alama za tahadhali u
 
Yote hayo unayosema yanaweza kuwa ni kweli.. lakini hayajibu kwanini ni Kibaha? Kwanini ajali hizi zisitokee Kimara au eneo lolote kabla ya kufika Kibaha?

Nakumbuka 2000 au 2001 kuna watu walifanya Retrospective Research hiyo (Ubungo-Chalinze) pale Polisi Mkoani Kibaha, ingawa sikumbuki vizuri lakini ilisemekana kuwa watu wanakuwa na Low concetration to changing (Road) environment compared na huko watokako... etc, hebu jaribuni kuuliza nakala za Research hiyo kama zipo hapo Kibaha Traffic, waandishi tusaidieni kufuatilia Research hiyo ikiwezekana,
 
... Ni nini priorities za serikali yetu?...

Mkubwa,
Iwapo tutaongelea vipaumbele vya serikali yetu, basi kila kitu
kwao ni kipaumbele. kwa mujibu wa viongozi wetu wa kitaifa. Kama njaa tu inaua watu Dodoma ilhali chakula kinatupwa Iringa kwa kushindwa kupata walaji, unadhani nani atakumbuka kupanua barabara zetu?
Kwa sasa kipaumbele chao ni uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
FULL STOP. Hawawazi mengine
.
 
Inasemekana hiyo gari haikuwa na break, kama hili ni kweli basi haikustahili kuwepo barabarani. Mpaka hapo owners wa magari watakapokuwa wanapigwa faini kubwa na hata kupewa kifungo ili kuhakikisha magari yasiyo kuwa na ubora wa kuwa barabarani hayaingii barabarani basi ajali za kutisha kama hii ya jana zitaendelea mara kwa mara kuwaangamiza Watanzania kwa miaka mingi ijayo. Pia madreva wengi hawastahili kuwa barabarani.

Majuu hupewi leseni mpaka upimwe macho yako kuona kwamba unaona vizuri na kama huoni vizuri basi itakulazimu ununue miwani ya kukuwezesha kuona vizuri, hili bongo halipo maana rushwa mtindo mmoja hata hujui sheria za barabara unaweza kuwa na leseni au kuendesha bila leseni.
 
Tukiondoa utani, tatizo kubwa la ajali, iwe Kibaha au Chalinze, Kitonga au Kibaigwa ni Chama Cha Mapinduzi. Hawana jipya! Hebu fikiria, jiji lenye wakazi karibu milioni nne, ya nini kuruhusu magari makubwa kutumia njia moja na sisi watembea kwa miguu na watumia daladala?
 
Back
Top Bottom