Accidents at Kibaha: A Scientific Reason? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 26, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Can somebody articulate why it seems there is some kind of a pattern or a logical explanation of why some of the most grisly accidents have happened in or near Kibaha for many many years now? Is there any scientific reason for these occurrences that our rulers have overlooked?

  Kwa sababu siamini kama ni wingi wa magari au ufinyu wa barabara tu unaweza kuelezea ajali hizi. Kuna kitu kinasababisha na nina uhakika siyo cha kishirikiana lazima kuna sababu ya kisayansi ya matukio haya.

  Tembeleeni tovuti ya "Bobo" ina picha za ajali mbalimbali za vyombo vya usafiri hasa Bongo.. na mnaweza kupata picha ya jinsi gani kuna mahali kuna tatizo ambalo linaweza kuelezeka kisayansi na kutatulika kwa kiasi kikubwa kisayansi.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Na eneo lilelile, jana hiyo hiyo, malori mawili yakagongana uso kwa uso... Kwa bahati hakuna vifo vilivyoripotiwa zaidi ya majeruhi wanne
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ''a scientific thread'' kwenye jukwaa la siasa!.....

  nimeamini MAZOEA YANA TABU
   
 4. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kuna haja ya kukaa na wazee wa eneo hilo na kusikia maoni yao ya 'kisayansi' lakini kwa kuongezea bado hiyo barabara imekaa kijima jima na haifanani kama 'route 76' au bara bara inayoongoza kwa kukuza uchumi wa Tanzania.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  si lazima uchangie au utoe comment kama hauna.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  NISAMEHE KAMA NIMEKUKWAZA!
  though huo ndo ukweli....!ni katika kuwekana sawa tu

  ''mazoea yana tabu''
  mods fungueni jukwaa la BUILDING AND CIVIL WORKS.
   
 7. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Asilimia kubwa ya ajali zinasababishwa na ovateki mahali pasipostahili, madereva wengi wanaovateki mahali popote iwe kwenye mlima, kona kali nk...Ajali ya jana ilisababishwa na lori lilikuwa linaovateki likakutana na ile hiace.
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu pamoja na kukaa na wazee, naamini bado kuwa barabara hii ni FINYU sana na bajeti ingetengwa ili barabara hii ipanuliwe kuanzia Chalinze! Hapo tutapunguza vifo vingi sana.

  Nairobi wameweza kwa kiwango kikubwa kupanua barabara zinazoingia katikati ya Jiji, na mpaka sasa wanaendelea na upanuzi huo, sisi tunashindwa nini? Ni nini priorities za serikali yetu?

  Kinachosikitisha, wanaendelea na ujenzi wa vibarabara finyu, na hivi vinatuingiza gharama pia tena kwa kubamizwa bei za kifisadi na makampuni yanayojenga vibarabara hivi uchwara!
   
 9. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukichunguza utakuta mabasi yanayopata ajali maeneo ya kutoka Chalinze kuja mpaka Kibaha ni ya le yanayokuwa yametoka safari za mbbali kama Zambia, Mbeya, Mwanza, Arusha na Moshi. Ajali nyingine zinazotokea Kutoka Kibaha kuja mpaka Kimara na Ubungo ni yale yanayotokea kama Morogoro, Iringa na Tanga.

  Madereva wanaotoka safari za mbali wanaanza kujiamini kuwa wamefika Dar wakifika Chalinze na kuishiwa au kupunguza umakini na wale wanaotoka safari za karibu wanapungukiwa na umakini wakipita Maili moja na kujiona wamefika.

  Pia madereva wanaoondoka Dar es salaam wanakengeuka kuliacha jiji wanapofika Kimara na kuanza kufikiria safari iliyoko mbele yao na kukosa umakini wa kudhibiti magari..
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sehemu nyingi Tanzania magari yanapishana, milimani, mabondeni, kwenye kona n.k lakini hakuna mahali panapovutia ajali zaidi kama Kibaha why?
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Bila shaka ukiwafata wazee lazima watasema tumepuuza matambiko ya zamani na si lolote
  Rehema za mungu zitunusuru
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280

  Yote hayo unayosema yanaweza kuwa ni kweli.. lakini hayajibu kwanini ni Kibaha? Kwanini ajali hizi zisitokee Kimara au eneo lolote kabla ya kufika Kibaha?
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Swali zuri!hapo ni utaalamu zaidi.ngoja nione majibu ''ya kisiasa''
   
 14. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tungepata picha ya hilo eneo ingetusaidia kujadili swali hili kisayansi zaidi
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mwalimu nadhani ni sahihi mawazo yako ..wataalam itabidi waliangalie vyema eneo hilo walipoipitisha hiyo barabara na kuamua nini kifanyike
  Hii si kawaida hata kidogo
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nenda kwenye Jamii Photos. Kuna image zinatisha kiasi.
   
 17. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mzee Mwanakijiji,

  Kama unahitaji majibu ya kisayansi inamaana kwamba hiyo ni changamoto inayochochea utafiti. Bila ya kufanya utafiti swala lako ni batili. Unapozungumzia wingi jaribu kutupatia takwimu ili tuweze kwenda sambamba.

  Kwa maoni yangu kulingana na uzoefu, mtu unapoanza safari kutokea Dar, ukishapita Mbezi unahisi ya kwamba sasa njia haina msongamano, ni muda wa kuanza kuharakisha safari.

  Vile vile kwa kutokea mikoani, ukifika Kibaha unaanza kufikiri kuhusu ile kero ya pale Ubungo Makutano. Nawe basi unashawishika kukaza buti ili uweze kuwahi.

  Tena basi isitoshe njia yote tokea bara unakuta kunakuwa na wale jamaa wa tochi lakini baada ya mizani hutegemei kukuta tochi. HABARI NDIO HIYO.

  Nawasilisha.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kama tatizo ni la kisayansi, watu muafaka wa kutuambia nini kinaendelea wangekuwa ni wale wataalamu wa barabara wa Kitivo cha uhandisi UDSM,ingawa siku hizi wanajiita chuo kikuu kishiriki.

  Bahati mbaya wataalamu hawa mara nyingi wamekuwa kama hawapo. Hawatoi msaada wa kitaalamu katika kusaidia kumaliza matatizo ya kihandisi yanayotuzunguka, kwa mfano foleni kubwa za magari, ajari zisizo katika, mipangilo mibaya ya miji etc etc.

  Pengine ni kwasababu wanaona hawatanufaika na lolote...
  This time pengine wanaweza kuitikia mwito wako.
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  almost there!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Dogo yuko right kabisa... umeweka kwenye jukwaa la siasa!!! Politicizing everything may not be the best thing!!!

  kumbuka baadhi yetu tuna interest kwasababu tunaishi au tumewekeza maeneo hayo
   
Loading...