Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,870
- 5,575
Imesaidia mataifa na si taifa pekee, huyo aliwahi kutumia wizara tofauti nchi hi unauliza imesaidia nini taifa?Hiyo elimu yake inaisaidia vipi hili taifa?
Kimataifa ni naibu katibu mkuu mstaafu wa UN huyo, ana mchango mkubwa hadi kimataifa si ndani tu hapa ya Tanzania