MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,755
- 6,675
Hiyo elimu yake inaisaidia vipi hili taifa?Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Hiyo elimu yake inaisaidia vipi hili taifa?Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Wasomi wa sheria wa kweli ni wakina Shivji, Warioba nk. Hao ndio wasomi wa kweli. Kabudi huyo ni takataka nyingine tu.Hii ni kweli kabisa.
Tatizo ccm imenyofoa ubongo wake
ASHA ROSE MIGIRO NI MSOMI ALIYETUMIA ELIMU YAKE KWA MANUFAA YAKE BINAFSI NA KWA MANUFAA YA WAHUNI WENGINE AMBAO KUPITIA UHUNI WAO NA YEYE NI MNUFAIKA.Leo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
MTU MWENYE ELIMU HAWEZI KUPELEKESHWA KSSENGE NA FORM FOUR FAILURE KUFANYA MAAMUZI YA KIMAAMUMA.Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Kabudi yupi sasa mkuu,huyuhyu nliewahi kusikia alikuwepo kwenye ule mkondo wa vyeti feki kipindi cha JPM?Waambiwe ukweli, first class aliyopata migiro pale UDSM mpaka Leo hakuna aliyeitikisa isipokuwa Prof. kabudi tu.
Kitaalamu, msomi ni yule mwenye kutumia elimu yake Kwa manufaa ya jamii, haijalishi ni kidato Cha nne au degree.Leo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
Umemsahau Kabudi in particularkuna wakati vyuo vingewapokonya vyeti baadhi ya wahitimu kama
1. mwakyembe
2. hapa na pale
3. huyo migiro
4. mwigulu
5. ccm wote
Migiro ni kama mjomba wangu mmoja kapatia elimu yake USA ni msomi kwelikweli lakini hajaelimika hata kidgo yaani hana impact yoyote kwenye familia zaidi ya kutuletea Vinyls tapes ambazo hatuna hata Santuri ya kuzicheza😂🙌MTU MWENYE ELIMU HAWEZI KUPELEKESHWA KSSENGE NA FORM FOUR FAILURE KUFANYA MAAMUZI YA KIMAAMUMA.
KI MSINGI MIGIRO AME PROVE A POINT KWAMBA SHE IS JUST AN EDUCATED FOOL.
IN TANZANIA WE HAVE AN ABUNDANCE OF EDUCATED FOOLS AND THEY ARE EVENLY DISTRIBUTED, WHEREVER YOU GO YOU ARE LIKELY TO MEET ONE.Migiro ni kama mjomba wangu mmoja kapatia elimu yake USA ni msomi kwelikweli lakini hajaelimika hata kidgo yaani hana impact yoyote kwenye familia zaidi ya kutuletea Vinyls tapes ambazo hatuna hata Santuri ya kuzicheza😂🙌
NB:
“to see the sun and moon is no sign of sharp sight; to hear the
noise of thunder is no sign of a quick ear.”
The Art of War
Sun Tzu
Mwakyembe nje ya system mtu smart sana. Sema ndio hivyo ili uwe CCM hautakiwi kuwa na ubongokuna wakati vyuo vingewapokonya vyeti baadhi ya wahitimu kama
1. mwakyembe
2. hapa na pale
3. huyo migiro
4. mwigulu
5. ccm wote
Mkuu ulitaka upewe nini?Migiro ni kama mjomba wangu mmoja kapatia elimu yake USA ni msomi kwelikweli lakini hajaelimika hata kidgo yaani hana impact yoyote kwenye familia zaidi ya kutuletea Vinyls tapes ambazo hatuna hata Santuri ya kuzicheza😂🙌
NB:
“to see the sun and moon is no sign of sharp sight; to hear the
noise of thunder is no sign of a quick ear.”
The Art of War
Sun Tzu
Mwakyembe nje ya system mtu smart sana. Sema ndio hivyo ili uwe CCM hautakiwi kuwa na ubongo
Amen.Migiro na mwenyekiti wake ndio wakae kapu 1.
Kuna T.O wa nnje ya Tanzania!!???Hivi mnyika aliwahi kuwa T.O wa Tanzania?
😁😁😁Neno "gwiji wa UNO" litumike sehemu sahihi.
Nakala kwa-Mr.Ban Ki Moon,kwa ufafanuzi wa ugwiji.
Kitaalamu, msomi ni yule mwenye kutumia elimu yake Kwa manufaa ya jamii, haijalishi ni kidato Cha nne au degree.
Unaweza kuwa na degree, masters au PhD lakini kama hauitumii elimu yako Kwa manufaa ya jamii inayokuzunguka, wewe sio msomi maana elimu yako Haina manufaa Kwa jamii.
Kwa muktadha huo, namuona Mnyika ni msomi aliebobea kuzidi Dr na professors kadhaa ambao wamekubali kuiasi jamii Kwa kukaa upande wa wadharimu wenye kuitesa jamii. Hawa ndio wale elimu zao haziwasaidii wao na ata jamii yao... professorial rubbish.
Useful idiots.
Me sitaki chochte ninachotaka ni kuona mabdiliko upi ni utofauti wangu mimi diploma holder wa chuo cha serikali Tanzania na yeye mnufaika wa western education ambayo inasemekana ni bora sana kuliko ya kwangu utofauti huo uwe ni either mchango wa moja kwa moja kwa jamii au mchango wa kimawazo ni hilo tu tofauti na hapo sitachelea kusema elimu iyo si kitu kwani haina tija.Mkuu ulitaka upewe nini?
Na wewe una nini cha kutoa ?
Nipe nikupe ,
Do me I do you