CCM hawana huruma mkuu. Nakumbuka wale mawakala wa UKAWA waliokamatwa wakijumlisha matokeo ya urais nchi nzima (Tallying center) walifungiwa kuajiriwa serikalini au kusoma vyuo vya Tanzania MILELE!! yaani walikua blacklisted indefinitely
..hata James Mbatia wa Nccr alifukuzwa Udsm akiwa mwaka wa 3 au wa 4 faculty of Engineering.