Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,096
Uongo utakusaidia nini?Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Uongo utakusaidia nini?Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Si CCM mlimfukuza chuo na kumfungia asisome popote dunianiMnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Kikwete ana kisasi cha kibwege sanaSi CCM mlimfukuza chuo na kumfungia asisome popote duniani
Hivi mnyika aliwahi kuwa T.O wa Tanzania?To be fair, fanya apple-to-apple comparison. Idiots wa CCM walinganishe wao kwa wao. Usibabaike na first class (paper qualification) ya Migiro. Angekuwa smart asingekubali kuwa dragged into the CCM mess. The fazafaka has squandered her entire political capital in less than one year!
Ni kweli?;Si CCM mlimfukuza chuo na kumfungia asisome popote duniani
YesNi kweli?;
Kina cv gani ya maana hicho kiajuza?si kilitimuliwa UN?Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Waambiwe ukweli, first class aliyopata migiro pale UDSM mpaka Leo hakuna aliyeitikisa isipokuwa Prof. kabudi tu.Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Neno "gwiji wa UNO" litumike sehemu sahihi.Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Hawajui first class ya sheria ni mbindeWaambiwe ukweli, first class aliyopata migiro pale UDSM mpaka Leo hakuna aliyeitikisa isipokuwa Prof. kabudi tu.
Toa mchango na soma kichwa cha habari, Wewe Sasa ndio Zuzu _Dodoma!Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Ana first class ya sheria huyo, waliyopata kama hiyo UDSM kwenye sheria wanahesabika.huyu huyu asha rose ama kuna mwingine, kama ni huyo hakuna kitu
Kushiba elimu na kinachoonekana ni vitu2tofauti, Angalia mama Tibaijuka huyu ndio msomi Sasa!Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
Hii ni kweli kabisa.Ana first class ya sheria huyo, waliyopata kama hiyo UDSM kwenye sheria wanahesabika.
Ukiwa CCM ubongo tupa nje,!Hii ni kweli kabisa.
Tatizo ccm imenyofoa ubongo wake
Kabisa huyo mama yuko vizuri sana endapo tu atatumia akili zakeUkiwa CCM ubongo tupa nje,!
Zilezile za wanawake ambapo kuna mmoja kabla hajamaliza alijua?Ana first class ya sheria huyo, waliyopata kama hiyo UDSM kwenye sheria wanahesabika.
Migiro kilaza tu kazi UN ilimshinda, ndio maana aliondoka kwenye unaibu katibu mkuu kabla ya Ban K Moon aliyemchagua!Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Samuya yeye alifeli fomu foo.Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR