ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Tatizo JPM anatenda kwa imani na hisia! Sijui ingekuwaje leo kamati ingesema tofauti na imani na hisia hizo!

Kama lipo tatizo ni vigumu sana kuwapata katika meza huru! Waliotuangusha ni viongozi wetu, watendaji wetu , wanasheria wetu na wabunge wetu! Hawakutafakari walichoamua na hawakuamua walichotafakari!
Ulitaka aendaje?
Mkulu ataelewa hiyo lugha?
 
Kweli kiongozi ndio maana Rais anasema nani ametuloga ? tatizo kwenye mambo ya maslai ya taifa tunaweka itkadi au siasa kwani tunatakiwa tujadili pasipo kuangalia upande wowote kwani kama maji yamekwisha kualibika inatakiwa tutatue tatizo pasipo kuangalia nani amefanya ilo kosa kwanza ,baadae tutakuja kwa aliyefanya kosa kama kumfunga tuufunge.
Sidhani kama ni kulogwa kaka, ni uzuzu na ujinga tu, ile asilimia chache iliyokuwa inafaidika na huu uozo kila sehemu wanahangaika na kuogopa kuishi kwa mapato halali, basi wako huru watetee wizi, wafanye yale yale, wawe mayuda iskariote na kila kitu, ali mradi yale maisha yao feki yaendelee! Haiwezekani kabisa, tunalea kizazi gani, tutawaachia nini vizazi wetu, haya maozo yaendelee mpaka lini?! Tunaogopa mkataba! Waogopa mkataba wakati vipengele vyote mpaka umoja wa mataifa vipo vya kukulinda wewe na maliasili na rasilimali zako! Tuamke...
 
Kama report ya TRA inaonyesha wamesafirisha container 44000 kwa miaka 19,

halafu sehemu ingine kuna report ya container 61000,
basi itakuwa imekula kwao,waanze kupack tu mabag maana jamaa huwaga harudi nyuma.

Kitendo tu cha mwanyika kuwa alikuwa mwanasheria mkuu,halafu wakampa ajira kubwa inaonyesha kuna mlungula ulitembea hapo,

wakiponyoka hapa ni wanaume kwelikweli
Kwa Magu hawafurukuti mkuu. Si unaona hata chenge alianza kupiga piga kelele ile kamati ya kwanza ilivyowakilisha ripoti?
 
You know nothing/little about International trade/investments.
The credible committee before the ACCEPTABLE Tribunal isn't the Presidential one..rather the INDEPENDENT.
Mchawi wetu ni CCM,
Finito.
It seems you are heavily affected by CHADEMAISM and CCMISM politics,read carefully and keenly between the lines do not rush to comment without thinking big.Listen once again the President speech and then compare with the last paragraph of your friend's ACACIA statement.Have a nice day!
 
ukiangalia kwa undani ni dhahiri kuwa acacia inamilikiwa na wazungu lakini imelibeba dili la akina mkapa, sumaye, kikwete, mzee zungusha wakionhezwa humo wasomi wetu. mnakumbuka hata chaka chaka aliwahi kuja kwa swala la madini hapa kwetu.
 
Kwa Magu hawafurukuti mkuu. Si unaona hata chenge alianza kupiga piga kelele ile kamati ya kwanza ilivyowakilisha ripoti?
Nchi gani mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kujitapa yeye ni mzee wa kutafuta, mishe mishe, nyoka mwenye makengeza! Halafu anakuja bungeni kuomba kujengewa barabara jimboni kwake?! Huku kahifadhi $500,000 Isle of Jersey kwenye offshore account! Na anaziita hizo hela (1,100,000,000/=) vijisenti!
Nyambafu kabisa, enzi ya mchonga huyu chenge angekuwa ananyea debe tu..China angekuwa marehemu sasa na kafilisiwa kila kitu...
 
It seems you are heavily affected by CHADEMAISM and CCMISM politics,read c
Asome hapa
Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.
arefully and keenly between the lines do not rush to comment without thinking big.Listen once again the President speech and then compare with the last paragraph of your friend's ACACIA statement.Have a nice day!
 
A slowly movement of lion does'nt mean a tiredness or weakness rather it's a calculated steps to attack a prey.

Mtasebeneka kwa muda mfupi tu...kuliwa vichwa kwa kukurupuka kupo palepale.
Yes tutasebeneka coz interest yako itakuwa ni kuona tunashindwa no matter what. Sijui elimu yako lakini Nina uhakika haujui purpose ya uwezo wako hapo duniani, nonsense.
 
Niletengemea kuona copy ya leseni kumbe hawana
Bado wababaishaji tuu yaani wanatoa Ripoti kuwatuliza wawekezaji watu wamejazana makao makuu ya acacia London kama wanasubiri treni ya Reli ya kati iliyochelewa kufika!
 
It seems you are heavily affected by CHADEMAISM and CCMISM politics,read carefully and keenly between the lines do not rush to comment without thinking big.Listen once again the President speech and then compare with the last paragraph of your friend's ACACIA statement.Have a nice day!

Asome hii kwa makini
Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.
 
Hakuna anyewatetea ACACIA,wala makampuni mengine,tunachosema tufuate sheria ili tuweze kuwashinda,kwa kukurupuka hatufiki hata posta.

Tusifanye kazi kama punguani tufanye kazi kwa umakini.Waliotuangusha wala siyo Lissu,kama Lissu angesikilizwa miaka 17 iliyopita leo kusingekuwa na haya madubwana.

Kwangu mimi Lissu is my hero
Hapa unataka umakini gani zaidi? Tumetumia wataalam wa miamba na madini. Wataalam wa uchumi na wanasheria. Tumefanya uchunguzi, tumeleta findings. Unataka umakini gani?
 
Asome hii kwa makini
Acacia remains open to further dialogue with the Government regarding this issue and continues to assess all of its options. We will provide a further update to the market as soon as practical.
Mkuu watu wanavuta bangi mchana hata hawaelewi wanajiandikia tu ili nae aonekane alichangia mada.
 
Back
Top Bottom