Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa
Ninavyoifahamu barrick ni business oriented firm 100%... Sijawahi kuiona popote kama charity org popote pale duniani lakini kwa mshangao kiwango cha guineas book of records wanatoa USD million mia 3 kwa jina la uaminifu wa kibiashara.... Halafu mnashangilia na kubeza wanaohoji... Kweli chizi si lazima aokote makopo
 
Hapo unaonesha mweupe.....uwe mkweli acha siasa kudanganya.

Shart la kuheshim sheria haki za raia na katiba....kunatatizo?
Acha nikusaidie mjuaji, Uchaguzi wa Zanzibar na cyber crime laws. Nini maana ya kujiita nchi uhuru kama nchi nyingine inaweza kudictate maisha yenu kupitia msaada?
 
Ina maana serikali ilijadiliana na mb.wa badala ya kuongea na mwenye mbwa?
 
Hii nchi mtaji wa wanasiasa ni ujinga wetu!!!75% ya watanzania ni illiterate na 25% tu ndio literate sasa unategemea nini katika nchi kama hii!!! Kuna jitu moja linajisifu linaishi US linajiita mwanakijiji nalo liko kwenye hiyo asilimia 75% akili fupi kama funza.
 
Hongera: Faida tutagawana nusu kwa nusu! Ila tangu waanze kuchimba madini, taarifa yao rasmi ni kuwa hawajawahi kupata faida ila hupata hasara kila mwaka! Kwa hiyo hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida miaka yote! Hivyo kama tukigawana faida ya miaka 16 iliyopita tutaambulia bashity!!! yaani zero! Labda kuanzia mwaka huu wataanza kupata faida let's wait and see!
 
Huo ndo utaratibu,hiyo kampuni siyo ya private kwamba mtu mmoja ataamua,lazima bodi kwani kuna watu wamewekeza pesa zao hapo,
hata ikiwa approved bado watakubaliana namna ya ulipaji,
hiyo kawaida,

wasipo approve,watafungasha virago ni suala la wao kuamua kusuka ama kunyoa
 
Umeandika ki layman sana, biashara haiko hivyo labda kwenye siasa, kwenye biashara kuna mikataba wanaheshimu kila share ya stakeholder hata iwe ndogo kiasi gani, Acacia ndiye mlipaji Acacia akikataa Barrick hata kama ana share kubwa unafikiri atatoa pesa zake kuilipia Acacia?.
Barrick ana migodi mitatu hapa nchini, mnakomalia na mgodi mmoja wa acacia. Ajabu mnashabikia vitu ambavyo wamesema watakaa waafiki, nakosa picha wangesema hatuafiki vile mngefurahia.
Sasa nakwambia hela zitalipwa na makubaliano ya serikali na mwenye mbwa yatafuatwa. Wakikataa wanasepeshwa, ukipenda kuwa wakili wao kwenye mahakama ya miga watakayotushtaki. Pumbav
 
Acha nikusaidie mjuaji, Uchaguzi wa Zanzibar na cyber crime laws. Nini maana ya kujiita nchi uhuru kama nchi nyingine inaweza kudictate maisha yenu kupitia msaada?

Kweli huelewi unajadili nini pole nisome na ujisome kisha jiulize unapinga nini?

adolay said: ↑
Hapo unaonesha mweupe.....uwe mkweli acha siasa kudanganya.

Shart la kuheshim sheria haki za raia na katiba....kunatatizo?
 
Nisichokielewa mimi ni Magufuli kuwaletea kiburi MCC na tumezipoteza dola million 700 za bure,
Hela za MCC zilikuwa na mashartui ya kisiasa.ETi sijui uchaguzi wa zanzibar sijui ruhusuni ushoga na usagaji na nini.Tulikataa masharti yao wakaondoka na pesa zao.MAMBO YA kutaka hadi tukubali ushoga ndio tupate tulikataa na hatutaki wabaki nazo
 
Utaona nzi wa kijani wakija na mapovu kama wamemeza omo
 
Hela za MCC zilikuwa na mashartui ya kisiasa.ETi sijui uchaguzi wa zanzibar sijui ruhusuni ushoga na usagaji na nini.Tulikataa masharti yao wakaondoka na pesa zao.MAMBO YA kutaka hadi tukubali ushoga ndio tupate tulikataa na hatutaki wabaki nazo


Hizo mtapewa kama itawezekana ili

1. Makinikia yaende

2. Dhahabu zibebwe

3. Na mbakie na umasikini wenu

Hakuna cha bure elewa.

Unapinga mcc ilimuendee kuvunja watu migongo na kuwapoteza, kuvunja sheria na kupora haki za raia...hovyo kabisa
 
Tumsubiri Lissu wetu ndio mwarobaini wa hawa wasema Uongo wa kutupwa.
 
nchi tumewakabidhi washamba na malimbukeni
\
Hayo ndioy maamuzi ya kikweklte, kukabidhi nchi kwa watu wa namna hiyo. Watz hawa kupiga kura za hivyo. Ni kkkeite na polisi nidyo walioitoa nchi kafara . Kwanza nashangaa kama mtu alimpa uwaiziri wa elimu zero mulungo, shemeji zake na mademu kibao na kuimarisha mfumo wa rushwa kughushi na kufake kila ktu kwa jina la kulinda aibu ya seriklai, mlitegemea abadilike ghafula?

Linatoka watpi tegemeo la mtu kama yule ambaye hakujali taifa zaidi ya familia yakena marafiki zake kiasi cha kumiarisha wizi wa mali za umma, udanganyifu na kila aina ya dhahama kwamba atafanya maamuzi sahihi ya kuicha nchi salama?

BILA JESHI KUIFURUSHA PTCCM NA UWONGO WAO, JIHESABUNI NI BAHATI MBAYA!. NI SAWA NA KOO ZA WAAFIRKA WALIOKUWA WAKIZALIWA UTUMWANI!. WALIENDELEA KUHESABIWA WATUMWA NA VIZAZI VYAO VYOTE.

AFADHALI MKOLONI!
 
Mshana you are a respected person, just distancing yourself from these kind of cheap politics. Ni maoni yangu tu
Thanks but this acacia saga has many opinions... Let me take your advice positively
 
Acacia notes that the Government of Tanzania (“GoT") and Barrick Gold Corporation ("Barrick"), Acacia’s majority shareholder, hosted a press conference in Tanzania today to provide an update on the ongoing discussions.

Acacia has just received a copy of the framework agreement referred to in Barrick’s release and is seeking further clarification. No formal proposal has been put to Acacia for consideration at this point in time. As stated at the press conference, any proposal agreed in principle between Barrick and the GoT will require Acacia’s approval.

Acacia will consider any agreement once it receives the full details and a further update will be provided when appropriate.

40E79BF6-EE44-4292-907A-81630F18DD0C.jpeg
 
Hongera: Faida tutagawana nusu kwa nusu! Ila tangu waanze kuchimba madini, taarifa yao rasmi ni kuwa hawajawahi kupata faida ila hupata hasara kila mwaka! Kwa hiyo hawajawahi kulipa kodi itokanayo na faida miaka yote! Hivyo kama tukigawana faida ya miaka 16 iliyopita tutaambulia bashity!!! yaani zero! Labda kuanzia mwaka huu wataanza kupata faida let's wait and see!
Umeshawahi kuziona faida za NBC, NMB, Mwadui, na kwingineko kote ambako serikali ina hisa?
 
Back
Top Bottom